CCM is better than CHADEMA

kwan ccm nacho chama, hivi cha wapi vile? cha mabwepande au ni kundi la mafia kama ilivyo kwa lile la italia
 
[annael umechanganyikiwa kwa kweli and i think ur not serious hebu badilika sasa hivi
 
Ccm ingekuwa dem hata angekaa uchi mbele yangu na ajitanue wala nisinge tamani ndo kwanza inge lala
Wewe unachotaka nini hivi umejaribu kufikiria hata kwamda kidogo tu?
Wewe unamatatizo gani?
Je wewe ni mzarendo wa nchi hii?
Umefanya nini?
Wote unaowaona kama wazalendo hakuna kitu ni upuuzi mtupu ndani yake.
CCM is the best.
 
Aisee..!!
Annael

nice name.

TUZIDISHE MAOMBI NA SALA
 
Last edited by a moderator:
Na ukichukulia kuwa mtoa hoja anakuwa ametishiwa kitumbua chake kuingia mchanga endapo hata-post japo msg ya kijinga!
Wewe acha hizo fikra za kifinyu.
Kunafaida zipi umezipata kuwepo CHADEMA?
Naomba uwe mkweli. na unijibu.
 
[annael umechanganyikiwa kwa kweli and i think ur not serious hebu badilika sasa hivi
Hivi nibadilike niwe nani au kwa lipi?
Je nikuulize wewe binafsi umefaidika nini na CHADEMA?
 
Oya hapa hatubishani kama umechoka nenda kalale:sleepy::sleepy::sleepy:

we mtoto unikome,polis wenu wameniulia ndugu yangu usitake kuniletea machungu mengine,kama umeshindwa kufunzwa na mama yako,ntakufunza mimi,ohooo!we nchezee na hivyo roba vyako uone :drunker:
 
we mtoto unikome,polis wenu wameniulia ndugu yangu usitake kuniletea machungu mengine,kama umeshindwa kufunzwa na mama yako,ntakufunza mimi,ohooo!we nchezee na hivyo roba vyako uone :drunker:
Kwani tatizo ni nini unakasirika mbona sikuelewi?
 
Niliona hizi picha jana na hadi leo ninapoandika sijaweza kula kitu. Ni Mungu mwenyewe atusimamie kama Tanzania na CCM ndiyo hii. Mungu awanusuru wtoto wetu na huu unyama wa aina hii. Mungu awaangazie hawa polisi warudishe utu wao na wa taifa letu mahali pake. Na hatimae, Mungu awafariji kwa namna ya pekee wafiwa. Kweli tumeenda mbali! Pasipo kejeli, ikwa kweli CCM imejiua na kujizika yenyewe.
 
kweli CCM ni bora kuliko CDM kwa haya kimetoa Raisi dhaifu, kimejaa mafisadi,kimechangia kuporosha uchumi, kina watuma police kuua raia
 
Hii ni kweli:-
1. Ni chama sikivu
2. Wanajua jinsi ya kutatua matatizo
3. Wameiweka nchi katika hali ya utulivu.


4. Wamemkodi DIAMOND kwenda Washington DC kuwatumbuiza WANA CCM

5.Wanajua kuweka pesa bila kuzilipia kodi huko USWISI

6.Wanajua kushinda CHAGUZI kwa PISTOL
 
Hii ni kweli:-
1. Ni chama sikivu
2. Wanajua jinsi ya kutatua matatizo
3. Wameiweka nchi katika hali ya utulivu.
NI ZAIDI YA TUPOI na U-POYO:CHAMA CHA MABWEPANDE NI SIKIVU?.

1/ Yawezekana kutokana na utekelezwaji wakilio cha wananchi juu kudhibitiwa MAFISADI na wapora rasilimali wanao pora mpaka wanyama wakiwa hai,
Ama kilio cha wachimba migodi wazawa ambao migodi na ardhi yao vimekuwa viki kabidhiwa kwa wavamizi wa kigeni wanaopewa kipau mbele kuliko wazawa,
Ama Usikivu juu malalamiko mbali mbali ya watumishi wa serikali km Ma Daktari na Walimu,na baadae kwenda jificha mahakamani?
Unathubutuje kusema CHAMA CHA MABWEPANDE NI SIKIVU?.

2/. Wanajua jinsi ya kutatua matatizo??

Ni hili Tatizo la mafisadi? kuanzia Richmond,EPA,Dowans,Lada,Meremeta,Wanyama,Na Mabilion ya USWIS au?!.Suala la kuvua GAMBA na Kufukuza mafisadi wote limeshakuwa hadithi ama sinema na mwisho wake tuliambiwa wakishughulikiwa nchi itayumba.
We sijui hii nguvu ya hayo uya nenayo umeitoa wapi.au we KILAZA?

3/. Wameiweka nchi katika hali ya utulivu??!
We kweli tunguja matukio yanayo fanywa na POLICCM Na Usalaam /Taifa (Pande issue ya Dr Uli,Morogoro,na Jana Iringa) ni ya AMANI?,
Taasisi za UMMA zimekuwa watumwa na Vibaraka wa CHAMA CHA MABWEPANDE katika kugandamiza(kufungiwa kwa mwanaHALISI) haki na uhuru wa raia.

USHAURI:Ukiwa mtumwa wa akili HUWEZI KUJITAWALA HATA KIMWILI sasa kijana jichunguze.
 
Back
Top Bottom