CCM imezidi kupoteza umaarufu Arusha, ukifanyika uchaguzi sasa kitaambulia asilima 5 tu

Huyu Mwanajamii akalale anaongea pumba tangu mwanzo mpaka mwisho. Hasomi alama za nyakati na wachangiaji wa namna hii wamepoteza umaarufuwa JF. Mtu unahitajika kutumia akili kidogo sio muda wote uonekane kichwa kimepumbaa. Atangulie na umaarufu wa CCM Arusha tuitamkuta mbele kwa mbele. Vita vya ukombozi sio lelemama hivyo tusipotezeane muda kwa kubadilishana upupu.
 
Leo alfajiri ktk purukushani za mabomu pale NMC kuna polisi wawili ambao hata kwa sura siwajui ila chakushangaza gafla baada ya mabomu kurindima FFU mmoja alitukuta tumejibanza (tulikua watatu) katika migomba na ukuta wa Arusha sport near arusha secondary na alikua kashika mtutu ila wenzake walivyomuuliza kwa mbali kama kuna watuhumiwa eneo hilo yeye aliwajibu kuwa hakuna mtu na akatuambia tusipite njia ya msikiti wa baniani kwani kuna polisi wenzake wengi sana ivyo tuelekee na njia ya town na tukiulizwa na askari wenzake tuwajibu kuwa tunaelekea sokoni na hatukua NMC, baaada ya hatua chache maeneo ya geti la shule ya msingi uhuru gafla mbele yetu akatokea FFU mwingine akiwa kavaa yale mavazi yao ya kazi na kashika mtutu akavua elemet yake akatuambia tukimbie kwa kupitia njia ya NSSF tuvuke mto then tutakuwa salama bila kutiwa nguvuni na askari wenzake.Askari wote hawa wawili hatuwafahamu wala hawatufahamu na wala hatukuwaomba msaada huu walioutoa pia hawakutuomba rushwa na hatukuwapa rushwa. Tulitimua kwa kupitia njia zile kama tulivyoelekezwa na polisi hao tusiowajua na tulifanikiwa kufika nyumbani salama na kupumzika kwa uchovu wa kukesha pale NMC.
Nashindwa kuelewa askari hawa waliopewa order kutukamata wakeshaji hapo NMC inakuwaje wanashiriki kututorosha tena ukizangatia askari hao wametoa msaada huo bila kuombwa wala kulaghaiwa na sisi wakeshaji.

Askari wa kawaida hawapendi kutufanyia wanavyofanya ila hao akina KUBERI ndio wabaya wetu.
 
katika siku za karibuni umaarufu wa CCM hapa JF umeongezeka

Mkuu unaipenda SISIEMU Hata Nyerere hakuipenda hivyo! Hivi wewe unafanya kazi kweli? O ndo walewale watu wapo katika foleni wewe unacheck mambo ya ajabu ktk mtandao! Fanya kazi, acha kutumia nguvu nyingi kubishana na NGUVU YA UMMA.. Panapo UKWELI UONGO HUJITENGA.. Wewe Neng'eneka tu ila ITAFAHAMIKA..
 
Mkuu unaipenda SISIEMU Hata Nyerere hakuipenda hivyo! Hivi wewe unafanya kazi kweli? O ndo walewale watu wapo katika foleni wewe unacheck mambo ya ajabu ktk mtandao! Fanya kazi, acha kutumia nguvu nyingi kubishana na NGUVU YA UMMA.. Panapo UKWELI UONGO HUJITENGA.. Wewe Neng'eneka tu ila ITAFAHAMIKA..



CCM ilishalaniwa na hata Nyerere mwenyewe angekuwapo sasa hivi angekihama chama hicho na kuingia CDM chama ambacho alikisifia tangu awali.
 
Wadau: baada ya sakata la Arusha, wengi wanasema kuwa kukubalika kwa CCM mjini humo umezidi kushuka sana kiasi kwamba uchaguzi ukifanyika siku yoyote kuanzia leo CCM inaweza ikaambulia si zaidi ya asilimia tano ya kura zote!
ngoja tuone uchaguzi wa arumeru mashariki
 
Back
Top Bottom