CCM imezidi kupoteza umaarufu Arusha, ukifanyika uchaguzi sasa kitaambulia asilima 5 tu

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Wadau: baada ya sakata la Arusha, wengi wanasema kuwa kukubalika kwa CCM mjini humo umezidi kushuka sana kiasi kwamba uchaguzi ukifanyika siku yoyote kuanzia leo CCM inaweza ikaambulia si zaidi ya asilimia tano ya kura zote!
 
Leo alfajiri ktk purukushani za mabomu pale NMC kuna polisi wawili ambao hata kwa sura siwajui ila chakushangaza gafla baada ya mabomu kurindima FFU mmoja alitukuta tumejibanza (tulikua watatu) katika migomba na ukuta wa Arusha sport near arusha secondary na alikua kashika mtutu ila wenzake walivyomuuliza kwa mbali kama kuna watuhumiwa eneo hilo yeye aliwajibu kuwa hakuna mtu na akatuambia tusipite njia ya msikiti wa baniani kwani kuna polisi wenzake wengi sana ivyo tuelekee na njia ya town na tukiulizwa na askari wenzake tuwajibu kuwa tunaelekea sokoni na hatukua NMC, baaada ya hatua chache maeneo ya geti la shule ya msingi uhuru gafla mbele yetu akatokea FFU mwingine akiwa kavaa yale mavazi yao ya kazi na kashika mtutu akavua elemet yake akatuambia tukimbie kwa kupitia njia ya NSSF tuvuke mto then tutakuwa salama bila kutiwa nguvuni na askari wenzake.Askari wote hawa wawili hatuwafahamu wala hawatufahamu na wala hatukuwaomba msaada huu walioutoa pia hawakutuomba rushwa na hatukuwapa rushwa. Tulitimua kwa kupitia njia zile kama tulivyoelekezwa na polisi hao tusiowajua na tulifanikiwa kufika nyumbani salama na kupumzika kwa uchovu wa kukesha pale NMC.
Nashindwa kuelewa askari hawa waliopewa order kutukamata wakeshaji hapo NMC inakuwaje wanashiriki kututorosha tena ukizangatia askari hao wametoa msaada huo bila kuombwa wala kulaghaiwa na sisi wakeshaji.
 
Wakati mwingine nashindwa kuwachukia hawa watu kwa kuwa walichofunzwa wao ni KUTII AMRI tu na si zaidi ya hapo

Kwa kweli ndani yao wana chembe nyingi za ubinadamu kwa kuwa tunaishi nao huku na tunaongea nao na kuwaona wakiwa nje ya jezi za polisi, ni kazi yao na hawana namna zaidi ya kutii shurti na bado haijafikia hatua ya wao kugeuza mgongo na kusema sasa inatosha hatutatii tena amri za kuwakandamiza watu wetu kama walivyofikia askari wa Tunisia walipoamua kumuambia Ben Ali kwa wazi kabisa kuwa hawa unatutuma tuwaue ni watoto wetu, wazazi wetu na ndugu zetu
 
hao askari wanajua kua wafanyacho sio sahih,wanafuata amri za wakubwa wao.ila kuna cku watawageuka live. umaaruf wa ccm umepotea sio tu arusha pekee bali tanzania nzima.
 
umaarufu wa Mbowe unashuka Arusha alikimbia alipowaona polisi na kuwaacha kondoo wakikimbia kila mmoja na njia yake kusalimisha maisha, chadema imeshuka umaarufu Arusha kwa kitendo hiki
 
Leo alfajiri ktk purukushani za mabomu pale NMC kuna polisi wawili ambao hata kwa sura siwajui ila chakushangaza gafla baada ya mabomu kurindima FFU mmoja alitukuta tumejibanza (tulikua watatu) katika migomba na ukuta wa Arusha sport near arusha secondary na alikua kashika mtutu ila wenzake walivyomuuliza kwa mbali kama kuna watuhumiwa eneo hilo yeye aliwajibu kuwa hakuna mtu na akatuambia tusipite njia ya msikiti wa baniani kwani kuna polisi wenzake wengi sana ivyo tuelekee na njia ya town na tukiulizwa na askari wenzake tuwajibu kuwa tunaelekea sokoni na hatukua NMC, baaada ya hatua chache maeneo ya geti la shule ya msingi uhuru gafla mbele yetu akatokea FFU mwingine akiwa kavaa yale mavazi yao ya kazi na kashika mtutu akavua elemet yake akatuambia tukimbie kwa kupitia njia ya NSSF tuvuke mto then tutakuwa salama bila kutiwa nguvuni na askari wenzake.Askari wote hawa wawili hatuwafahamu wala hawatufahamu na wala hatukuwaomba msaada huu walioutoa pia hawakutuomba rushwa na hatukuwapa rushwa. Tulitimua kwa kupitia njia zile kama tulivyoelekezwa na polisi hao tusiowajua na tulifanikiwa kufika nyumbani salama na kupumzika kwa uchovu wa kukesha pale NMC.
Nashindwa kuelewa askari hawa waliopewa order kutukamata wakeshaji hapo NMC inakuwaje wanashiriki kututorosha tena ukizangatia askari hao wametoa msaada huo bila kuombwa wala kulaghaiwa na sisi wakeshaji.

Kuna siku watakataa amri na yatatokea yale ya misri na yale yanayoendelea syria.
 
kuanzia jana CCM haina mpinzani Arusha Chadema wamekwisha tawanyika na kupotezana
 
umaarufu wa Mbowe unashuka Arusha alikimbia alipowaona polisi na kuwaacha kondoo wakikimbia kila mmoja na njia yake kusalimisha maisha, chadema imeshuka umaarufu Arusha kwa kitendo hiki

mtatumwa sana mwaka huu na hao mabwana zenu
 
kuunda jeshi upya sio kazi ndogo chadema hawana makamanda wa kuwaongoza kwa shida na raha
 
Hawa maaskari walioapishwa watumikie umma na leo wamegeukia sisiem,hakika nawaambieni ya kwamba hawa watakuja kujuta na kushika vichwa na bila ya majibu nawahakikishia.SINA MENGI<<<<<<<<<<<<<<,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Leo alfajiri ktk purukushani za mabomu pale NMC kuna polisi wawili ambao hata kwa sura siwajui ila chakushangaza gafla baada ya mabomu kurindima FFU mmoja alitukuta tumejibanza (tulikua watatu) katika migomba na ukuta wa Arusha sport near arusha secondary na alikua kashika mtutu ila wenzake walivyomuuliza kwa mbali kama kuna watuhumiwa eneo hilo yeye aliwajibu kuwa hakuna mtu na akatuambia tusipite njia ya msikiti wa baniani kwani kuna polisi wenzake wengi sana ivyo tuelekee na njia ya town na tukiulizwa na askari wenzake tuwajibu kuwa tunaelekea sokoni na hatukua NMC, baaada ya hatua chache maeneo ya geti la shule ya msingi uhuru gafla mbele yetu akatokea FFU mwingine akiwa kavaa yale mavazi yao ya kazi na kashika mtutu akavua elemet yake akatuambia tukimbie kwa kupitia njia ya NSSF tuvuke mto then tutakuwa salama bila kutiwa nguvuni na askari wenzake.Askari wote hawa wawili hatuwafahamu wala hawatufahamu na wala hatukuwaomba msaada huu walioutoa pia hawakutuomba rushwa na hatukuwapa rushwa. Tulitimua kwa kupitia njia zile kama tulivyoelekezwa na polisi hao tusiowajua na tulifanikiwa kufika nyumbani salama na kupumzika kwa uchovu wa kukesha pale NMC.
Nashindwa kuelewa askari hawa waliopewa order kutukamata wakeshaji hapo NMC inakuwaje wanashiriki kututorosha tena ukizangatia askari hao wametoa msaada huo bila kuombwa wala kulaghaiwa na sisi wakeshaji.

Hadithi yako nzuri nani kakufundisha?
 
hao askari wanajua kua wafanyacho sio sahih,wanafuata amri za wakubwa wao.ila kuna cku watawageuka live. umaaruf wa ccm umepotea sio tu arusha pekee bali tanzania nzima.

umaarufu wa CCM unaongezeka hapa jamiiforums na Tanzania nzima
 
Back
Top Bottom