Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,042
- 103,475
Mkuu Tindo, angalia tarehe ya hizi hoja.
Chadema did nothing!.
P
Una mawazo sahihi na wala sikuwahi kupinga baadhi ya mawazo yako. Je huo udhaifu wa cdm kutokufanya mabadiliko kuna uhusiano na hizo hujuma za wazi zinazofanywa hivi sasa na utawala huu dhidi yao? Nilitarajia kuwe na fairness kwenye hizi chaguzi ili hiyo cdm ife natural death, lakini kwa sasa cdm hata ikifa itakuwa imekufa kwa hizo sababu uluzosema au ni kwasababu ya hizi hujuma za wazi?
Nikupe mfano mrahisi wa ww binafsi ili unielewe vizuri, umesema huko mwanzo awamu iliyopita mambo yako yalikuwa mazuri kwa jitihada zako, je hivi sasa sio mazuri kwakuwa umepunguza jitihada zako? Ni vyema unapojenga hoja zako utofautishe sababu hasa za tatizo, na epuka kuchanganya maoni yako hata kama ni mazuri ili kupindisha uhalisia kwa makusudi au bahati mbaya. Ni kweli cdm kina mapungufu yake kama zilivyo taasisi nyingine, je huu uhuni wa kishenzi unaoendelea hivi sasa kwenye chaguzi hizi ni sababu ya hayo mapungufu ya cdm uliyosema?