CCM Haitayumbishwa na Ngonjera za WAPINZANI

kama mlishindwa zamani itakuwa sasa.......cdm ni chama hata CCM wanajua ndio maana wanahangaika
 
attachment.php
 
majitu kama haya ni kuyaacha yabweteke hivohivo. maana hayatakuwa na mda wa kujikosoa na kujikomboa. wkt m4c inasonga mbele wao ni kujipa moyo tu. mara wachaga mara wakristo mara kaskazini. yanajipa moyo tu maana yanajua hata hao wachaga peke yao wakiamua kuwangoa uwezo wanao. mungu akupige na ububu ewe ibilisi mkubwa.
 
View attachment 54885


Haya nayasema mimi Kada wa CCM.kuwa hyo mikutano yenu mnayoifanya ni sawa na ngonjera au Maigizo...Ndani ya vyama pinzani hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi.Wachaga wakisha Dola hii basi ujue mwisho wa sayari ya tatu umefika.
CCM ni chama chenye nguvu.
CCM ni Chama chenye uwezo mkubwa kiuetandaji.
CCM ni CHAMA kilichoikomboa nchi hii na kuwaletea wananchi maendelo
CCM ndo Tanzania na hakuna Tanzania bila
CCM Viva Viva,fanyeni mikutano jueni kila muendapo mtatukuta.

Updates
Haya ndo yanawapa ukiburi kuwa mtatawala njii hig
Chadema-chaga development for movement alliance.
M4C-Movement for change

Rais wako Jk anakiri mambo si shwari na kuwa CCM kwa sasa wananchi hawana imani nayo yaani hawaitaki. Wewe au nyie huwa mnaingiaje madarakani bila mapenzi ya wananchi
 
Back
Top Bottom