CCM Haitayumbishwa na Ngonjera za WAPINZANI

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
jk.JPG

Haya nayasema mimi Kada wa CCM.kuwa hyo mikutano yenu mnayoifanya ni sawa na ngonjera au Maigizo...Ndani ya vyama pinzani hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi.Wachaga wakisha Dola hii basi ujue mwisho wa sayari ya tatu umefika.
CCM ni chama chenye nguvu.
CCM ni Chama chenye uwezo mkubwa kiuetandaji.
CCM ni CHAMA kilichoikomboa nchi hii na kuwaletea wananchi maendelo
CCM ndo Tanzania na hakuna Tanzania bila
CCM Viva Viva,fanyeni mikutano jueni kila muendapo mtatukuta.

Updates
Haya ndo yanawapa ukiburi kuwa mtatawala njii hig
Chadema-chaga development for movement alliance.
M4C-Movement for change
 
Hata KANU walisema ivyo.IVI MWENYE UWEZO WA KUSHIKA NCHI NANI? Nyinyi M mmechacha.
 
Umenena kwa mjibu wa fikira zako. Na ni sawa kabisa kama ambavyo Chadema haiwezi yumbishwa na ngonjera za Nape na kampuni lake.
.
"LONELINESS IS THE MOST TERRIBLE POVERTY".
 
Haya nayasema mimi Kada wa CCM.kuwa hyo mikutano yenu mnayoifanya ni sawa na ngonjera au Maigizo...Ndani ya vyama pinzani hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi.Wachaga wakisha Dola hii basi ujue mwisho wa sayari ya tatu umefika.
CCM ni chama chenye nguvu.
CCM ni Chama chenye uwezo mkubwa kiuetandaji.
CCM ni CHAMA kilichoikomboa nchi hii na kuwaletea wananchi maendelo
CCM ndo Tanzania na hakuna Tanzania bila
CCM Viva Viva,fanyeni mikutano jueni kila muendapo mtatukuta.

Updates
Haya ndo yanawapa ukiburi kuwa mtatawala njii hig
Chadema-chaga development for movement alliance.
M4C-Movement for change

kaka
usijipe sana moyo,kwani inakubidi ujipange,wenzako wanajipanga,usibweteke kamwe

jaribu kusoma alama za nyakati

nakupa mifano midogo tu
1.Kanu-is no more
2.zambia
3.mali
4.malawi
5.france
6.greece

kwa hiyo fanya kazi kwa bidii usije lalama baadae
 
Hii mijitu mingine sijui huwa inatokea wapi!!!!!!!!!!! au kwa sababu unalipwa na magamba kutuletea topic za kipuuzi hapa jf. peleka nyumbani kwako ukajadili na familia yako sababu ndio inawafaa. MAGAMBA MAKUBWA WEWE.
 
Huhukumiwi kwa mawazo binafsi! M4C inaheshimu uhuru wa kutoa maoni. Hongera kwa mtazamo hasi.
 
kaka
usijipe sana moyo,kwani inakubidi ujipange,wenzako wanajipanga,usibweteke kamwe

jaribu kusoma alama za nyakati

nakupa mifano midogo tu
1.Kanu-is no more
2.zambia
3.mali
4.malawi
5.france
6.greece

kwa hiyo fanya kazi kwa bidii usije lalama baadae

Alama za nyakati hakuna.zilikuwepo enzi hizo.
Kuondoka madarakani ni ndoto na hata ikitimia si kwa kizazi hiki
 
Hii mijitu mingine sijui huwa inatokea wapi!!!!!!!!!!! au kwa sababu unalipwa na magamba kutuletea topic za kipuuzi hapa jf. peleka nyumbani kwako ukajadili na familia yako sababu ndio inawafaa. MAGAMBA MAKUBWA WEWE.

Sasa we umefungua yanini,
 
Back
Top Bottom