Bado Kidogo 2015
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 207
- 78
Aliwazalo mjinga ndo humtokea.
Na wewe ndiyo mjinga,
Bado Kidogo 2015.
Aliwazalo mjinga ndo humtokea.
M4C-MOVEMENT FOR CHAGA
Utapata mtori tu
ccm kama avatar yako. usijali nguvu bado mnazo
Haya nayasema mimi Kada wa CCM.kuwa hyo mikutano yenu mnayoifanya ni sawa na ngonjera au Maigizo...Ndani ya vyama pinzani hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi.Wachaga wakisha Dola hii basi ujue mwisho wa sayari ya tatu umefika.
CCM ni chama chenye nguvu.
CCM ni Chama chenye uwezo mkubwa kiuetandaji.
CCM ni CHAMA kilichoikomboa nchi hii na kuwaletea wananchi maendelo
CCM ndo Tanzania na hakuna Tanzania bila
CCM Viva Viva,fanyeni mikutano jueni kila muendapo mtatukuta.
Updates
Haya ndo yanawapa ukiburi kuwa mtatawala njii hig
Chadema-chaga development for movement alliance.
M4C-Movement for change
Mh!unajinyea kibaya zaidi unajika hayo mavi kama mtoto kumbe mkubwa!
Alama za nyakati hakuna.zilikuwepo enzi hizo.
Kuondoka madarakani ni ndoto na hata ikitimia si kwa kizazi hiki
Hata Moi na KANU yake alisema hivyo hivyo leo wapo wapi,
hukumbikilichotokea Zambia.
Hujaona yalio mpata Nicolas Sarkozy, hukumbuki yaliyo tokea Ivory coasty,
Naomba Mungu muendelee kujidaganya hivyo hivyo hadi 2015 Tutakapo ikabidhii CDM nchii.
Ee mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema sikia kilio chetu. tunaomba uingilie kati haya manyanyaso tunayo ya wapa sisi watanzania. Tunaomba umoja na mshikamano viendelee kudumu ndani ya chadema , chama mbadala kilicho itwa ili kitukomboe sisi waanzania.
Wote tuseme AMEEN.
Haya nayasema mimi Kada wa CCM.kuwa hyo mikutano yenu mnayoifanya ni sawa na ngonjera au Maigizo...Ndani ya vyama pinzani hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi.Wachaga wakisha Dola hii basi ujue mwisho wa sayari ya tatu umefika.
CCM ni chama chenye nguvu.
CCM ni Chama chenye uwezo mkubwa kiuetandaji.
CCM ni CHAMA kilichoikomboa nchi hii na kuwaletea wananchi maendelo
CCM ndo Tanzania na hakuna Tanzania bila
CCM Viva Viva,fanyeni mikutano jueni kila muendapo mtatukuta.
Updates
Haya ndo yanawapa ukiburi kuwa mtatawala njii hig
Chadema-chaga development for movement alliance.
M4C-Movement for change
Haya nayasema mimi Kada wa CCM.kuwa hyo mikutano yenu mnayoifanya ni sawa na ngonjera au Maigizo...Ndani ya vyama pinzani hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi.Wachaga wakisha Dola hii basi ujue mwisho wa sayari ya tatu umefika.
CCM ni chama chenye nguvu.
CCM ni Chama chenye uwezo mkubwa kiuetandaji.
CCM ni CHAMA kilichoikomboa nchi hii na kuwaletea wananchi maendelo
CCM ndo Tanzania na hakuna Tanzania bila
CCM Viva Viva,fanyeni mikutano jueni kila muendapo mtatukuta.
Updates
Haya ndo yanawapa ukiburi kuwa mtatawala njii hig
Chadema-chaga development for movement alliance.
M4C-Movement for change
wapinzani ni sawa na wasanii wanaotungiwa nyimbo na kuziimba wao.
naomba nikuulize swali dogo tu
1.unaweza nipa sababu za watu kugomea kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama mwaka huu hususani ktk mashina,matawi na kata?
2. je unaweza nieleza ni kwanini uchaguzi wa kilombero hadi FFU wameingilia kati baada ya wanachama kupigana kwa kulazimishiwa mgombea wasiomtaka?
ndani ya chama bado kuna makundi na makundi hayo hayajatatuliwa hadi leo ndio chokochoko zinazojitokeza ktk chaguzi za sasa
na kama huamini nakuomba soma hii ktk gazeti la mwananchi la leo Maige: Majungu CCM yameniondoa uwaziri
Maige: Majungu CCM yameniondoa uwaziri
usijipe moyo sana,jitahidi kuondoa kasoro zilizopo,usije sema NINGELI
Ama kweli mtandao umeingiliwa na mamluki! kama shibuda ndani ya chadema!
1. Ati ndani ya vyama pinzani hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi!
hivi unaelewa unalolisema? cdm ndio imeasisi mipango mingi ambayo chama chako cha magamba kimeyaiga-matumizi ya helkopta kwenye mikutano ya kampeni; hoja ya uanzishwaji wa chuo kikuu ddma; mchakato wa katiba mpya; kuibua mafisadi, nk. ccm ilichofanya kwanza ni kupinga na baadae wakakubaliana na hoja hizi zote. maana ya hoja/mipango hii ni kuwa - 'it's the dreamer who can tell best about the dream'. cdm ndio wenye ndoto nyingi za kimaendeleo na ndio wanaoweza kuongoza vema harakati za kujiletea maendeleo kuliko chama cha mafisadi na washirika wake. 'nyinyiem' imefika mwisho wa kufikiri. hawajui kudhibiti ufisadi, hawajui kuleta maendeleo endelevu, wao kazi yao ni kula tu mali za uma.
2. Ati Wachaga wakisha Dola hii basi ujue mwisho wa sayari ya tatu umefika!
Hoja mufilisi!!! hebu niambia ni kabila gani tz hii ambalo liko entittled kuongoza nchi hii? kabila la jk? la nyerere? la mkapa? sema ni kabila gani?
hivi bado unaendelea kufikiria kwa kutumia makalio au tumbo? jifunze kuhusu sifa za kiongozi bora na utaona 'ukabila' haupo. nchi hii inahitaji mtu aliye mzalendo wa kweli atakayewaongoza watz ktk kumiliki uchumi wao ili waione faida ya kuwa watz.ccm na viongozi wake (ambao wewe ndio unaona wanaweza) wameishia kuwakatisha tamaa watz.
3. CCM ni CHAMA kilichoikomboa nchi hii
Yaani hata historia ya nchi yako (kama sio mamluki) huifahamu! hv uhuru wa nchi hii uliletwa na ccm? si ajabu hata hujui ni lini nchi hii ilipata uhuru wake! si kazi yangu kuanza kukufundisha historia.......nenda kaanze tena darasa la tatu.
4. CCM ndo Tanzania na hakuna Tanzania bila
sishangai kuwa wewe ni mmoja wa waliolishwa 'unga wa ndele'. yaani bado hujafunguka, hujitambui, unadhani bado rais ni nyerere, na kuona ccm kuwa ni zaidi ya baba na mama yako! si ajabu u-mzee wa miaka kati ya 80 na 90. shame on u!
VUA GAMBA, VAA GWANDA NDIO MPANGO - HATA NEPI ANALIJUA HILO, JK ANATETEMEKA ANAPOSIKIA CHADEMA, M4C.........
Ama kweli mtandao umeingiliwa na mamluki! kama shibuda ndani ya chadema!
1. Ati ndani ya vyama pinzani hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi!
hivi unaelewa unalolisema? cdm ndio imeasisi mipango mingi ambayo chama chako cha magamba kimeyaiga-matumizi ya helkopta kwenye mikutano ya kampeni; hoja ya uanzishwaji wa chuo kikuu ddma; mchakato wa katiba mpya; kuibua mafisadi, nk. ccm ilichofanya kwanza ni kupinga na baadae wakakubaliana na hoja hizi zote. maana ya hoja/mipango hii ni kuwa - 'it's the dreamer who can tell best about the dream'. cdm ndio wenye ndoto nyingi za kimaendeleo na ndio wanaoweza kuongoza vema harakati za kujiletea maendeleo kuliko chama cha mafisadi na washirika wake. 'nyinyiem' imefika mwisho wa kufikiri. hawajui kudhibiti ufisadi, hawajui kuleta maendeleo endelevu, wao kazi yao ni kula tu mali za uma.
2. Ati Wachaga wakisha Dola hii basi ujue mwisho wa sayari ya tatu umefika!
Hoja mufilisi!!! hebu niambia ni kabila gani tz hii ambalo liko entittled kuongoza nchi hii? kabila la jk? la nyerere? la mkapa? sema ni kabila gani?
hivi bado unaendelea kufikiria kwa kutumia makalio au tumbo? jifunze kuhusu sifa za kiongozi bora na utaona 'ukabila' haupo. nchi hii inahitaji mtu aliye mzalendo wa kweli atakayewaongoza watz ktk kumiliki uchumi wao ili waione faida ya kuwa watz.ccm na viongozi wake (ambao wewe ndio unaona wanaweza) wameishia kuwakatisha tamaa watz.
3. CCM ni CHAMA kilichoikomboa nchi hii
Yaani hata historia ya nchi yako (kama sio mamluki) huifahamu! hv uhuru wa nchi hii uliletwa na ccm? si ajabu hata hujui ni lini nchi hii ilipata uhuru wake! si kazi yangu kuanza kukufundisha historia.......nenda kaanze tena darasa la tatu.
4. CCM ndo Tanzania na hakuna Tanzania bila
sishangai kuwa wewe ni mmoja wa waliolishwa 'unga wa ndele'. yaani bado hujafunguka, hujitambui, unadhani bado rais ni nyerere, na kuona ccm kuwa ni zaidi ya baba na mama yako! si ajabu u-mzee wa miaka kati ya 80 na 90. shame on u!
VUA GAMBA, VAA GWANDA NDIO MPANGO - HATA NEPI ANALIJUA HILO, JK ANATETEMEKA ANAPOSIKIA CHADEMA, M4C.........
Haya nayasema mimi Kada wa CCM.kuwa hyo mikutano yenu mnayoifanya ni sawa na ngonjera au Maigizo...Ndani ya vyama pinzani hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi.Wachaga wakisha Dola hii basi ujue mwisho wa sayari ya tatu umefika.
CCM ni chama chenye nguvu.
CCM ni Chama chenye uwezo mkubwa kiuetandaji.
CCM ni CHAMA kilichoikomboa nchi hii na kuwaletea wananchi maendelo
CCM ndo Tanzania na hakuna Tanzania bila
CCM Viva Viva,fanyeni mikutano jueni kila muendapo mtatukuta.
Updates
Haya ndo yanawapa ukiburi kuwa mtatawala njii hig
Chadema-chaga development for movement alliance.
M4C-Movement for change
sasa unajikanyaga mkuu soma uliloandika theni kazia mbona unamponda GAMBA mwenzio ?