Haya nayasema mimi Kada wa CCM.kuwa hyo mikutano yenu mnayoifanya ni sawa na ngonjera au Maigizo...Ndani ya vyama pinzani hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi.Wachaga wakisha Dola hii basi ujue mwisho wa sayari ya tatu umefika.
CCM ni chama chenye nguvu.
CCM ni Chama chenye uwezo mkubwa kiuetandaji.
CCM ni CHAMA kilichoikomboa nchi hii na kuwaletea wananchi maendelo
CCM ndo Tanzania na hakuna Tanzania bila
CCM Viva Viva,fanyeni mikutano jueni kila muendapo mtatukuta.
Updates
Haya ndo yanawapa ukiburi kuwa mtatawala njii hig
Chadema-chaga development for movement alliance.
M4C-Movement for change
Kama mtu uliyejitambulisha kuwa kada wa CCM na upo kwenye forum ya "great thinkers" una mtazamo huu basi CCM ina hali mbaya kuliko nilivyokuwa nikidhani. Hizo ngonjera na maigizo zina impact kubwa sana kwenye mawazo na utashi wa wapiga kura. Kama kweli wewe ni mpenzi na kada wa CCM unapaswa kuwasaidia "think tank" ya chama chako iliyozeeka watafakari kwa kina mkakati mzuri zaidi wa kukikomboa chama chenu.