CCM: Dharura Kamati Kuu & NEC, Kuna Nini Huko?

sheikh-yahyabc.jpg

Hivi kweli watanzania ya karne ya 21 bado wana mwamini mzee huyu?.

Kigagula + TISS = Mafioso
 
Yale yale TU - Nikihesabu vikao vya dharura alivyoitisha JK hiki kitakuwa cha 18! Same Same stories - Wanatuongezea foleni tu hapa Dar!
 
msitegemee makubwa sana toka wa huyu mkuu. na wala msidhani kuwa kuna mambo mazito atafanya huyu mkuu.
kikubwa ni kwamba kuna mamboa ambayo ameyasikia juu ya mchezo mchafu miongoni mwao. sasa yeye anataka kuweka kuweka mambo sawa ili wawe kitu kimoja na kupata ushindi mnono octoba.
pia kuna mtu alikwenda kumuuma sikio juu ya rafiki zake na viongozi wake wa karibu jinsi wanavyojipanga na kusambaza maneno maovu dhid ya mkuu. anataka kuondoa utata huu.

Kama alivyosema mtoa thread , mkuu amekuwa kimya sana na hili ni tatizo.
 
- Wa-Tanzania tufike mahali ni lazima tu-pay attention kwa what we have na sio what we do not have, CC na NEC za CCM, Chadema na CUF siku zote lazima ziwe our national news, kwa sababu kwanza wote wameanzia TANU, halafu wote wanaamini in Mwalimu baba wa taifa letu.

- Sasa ni muhimu tukatafuta habari za kuelekea kwenye hivi vikao kulikoni kuliko jazba na ngonjera, wastaarabu wote hawakatai wito, huwa wanakataa jambo baada ya kusikiliza wito kwanza, we are responsible kuwa hapa tulipo sasa tusisingizie wengine, tubebe msalaba understanding kwamba tunajua tunataka nini na hatutaki nini kutoka hivi vyama vyetu!

- Hakuna anayelipwa na mtu hapa kuleta habari, wote tunajitolea tu kupashana habari na kufahamishana kinachoendelea, kama hii thread unaona ni waste of your time si kubadili channel tu na ndio Demokrasia yenyewe!

Respect.

FMEs!

True that kabisa; if we love our country we have to pay attention kwenye haya mambo hata kama hatupendi au tunadharau...

Lakini nina funny feelings kwamba pamoja na attention yetu hakuna jipya kwani yote wamejadiliwa na JF in details kuliko hata yatakavyojadiliwa;
Sheria ya uchaguzi na kile kipengele chenye utata
Mpasuko na kauli za Sitta
Ajali ya kibamba
Msukumo wa vijana
AOB
 
Amewaita mafisadi wenzake kwa hasira - wakifika karimjee ataanza kucheka tu.
Nothing serious.
 
True that kabisa; if we love our country we have to pay attention kwenye haya mambo hata kama hatupendi au tunadharau...

Lakini nina funny feelings kwamba pamoja na attention yetu hakuna jipya kwani yote wamejadiliwa na JF in details kuliko hata yatakavyojadiliwa;
Sheria ya uchaguzi na kile kipengele chenye utata
Mpasuko na kauli za Sitta
Ajali ya kibamba
Msukumo wa vijana
AOB

Unaweza kuta jamaa hana nafasi ya kuitisha vikao vya kawaida si unajua ratiba yake imejaa kwa safari za nje.
 
- lakini nina imani kubwa sana kwamba something is up, hizi nafasi za Katibu, Naibu Katibu na Secretariat, sitashangaa kama wote wakiondolewa.
Hata hivyo anaroho ngumu kuachia chama kikawa na Katibu wa aina hii.
 
Nakubaliana na wote wanaosema hapatakuwa na JIPYA kwani si mara ya kwanza kuamsha hisia na shauku zetu at the end of the day hakuna tamko au japo karipio kali, sasa kuna haja gani ya juficha agenda? Otherwise hii iwe mara ya kwanza kuwa mkali kukemea wazembe na wezi CCM!
 
Unaweza kuta jamaa hana nafasi ya kuitisha vikao vya kawaida si unajua ratiba yake imejaa kwa safari za nje.
very possible mkuu.... tumuombee apate jeuri ya kuwapiga chini japo wawili wawe mfano utaona nchi inabadilika
 
who is doing the thinking for the country. Uki disect vitu vinavyoendelea serikalini utajua kuwa nchi inaenda kama nguruwe tu!

We acha tu ndugu yangu .Bora nguruwe mara 1000 . By the way Nguruwe is ana intelligent animal. Believe me .
 
Kupoteza rasilimali za walipa kodi kwa ajili ya hiyo mikutano isiyokuwa na tija. Shame.
 
Huenda yakatokea mabadiliko ya uongozi Taifa maana Naibu katibu mkuu(Mkuchika)Katibu mwenezi (Chiligati)wote wanataka kutetea ubunge kwenye majimbo yao kipindi cha uchaguzi watakuwa busy na kampeni zao !Atabiakia Makamab peke yake !huenda akatfutiwa wasaidizo wapya!
 
Kupoteza rasilimali za walipa kodi kwa ajili ya hiyo mikutano isiyokuwa na tija. Shame.

Angalau CCM mambo yanakwenda kwa vikao. Kinachoamuliwa na utekelezaji wake vinabaki kuwa kitendawili. FMES tunakushukuru kwa "current affairs" za chama hiki kinachotutawala tutake tusitake kwa miaka mingi ijayo!
 
Kinachonifanya nifurahie posts zako Wild Card ni uwezo wako mkubwa wa kunicomvince niamini kuwa wewe ni hodari wa KUOTA NDOTO MCHANA
 
msitegemee amkubwa toka kikao hicho, kuwa kina maslah na taifa. wanajipanga ili kuweka mipango sawa lakini pia kuwaambia wale wenye kumpinga chini chini na wenye kusakama maswahiba wake kwa hila ndani ya ccm kuwa mlango uko wazi...

ngoja niwaume sikio wana jamvi--- mkuu amewachukia sana baadhi ya wabunge wanaomchafua rafiki yake mmoja aliyempa pesa nyingi (2005) na kumfikisha hapo alipo.
 
Kwa nini tunakua 'exited' wakati hawa sisiem wanapokutana kunywa kikombe cha kahawa!
 
Back
Top Bottom