Mkuu FMES, CCM hawafuati nyayo za baba wa Taifa; that's is very clear.
Chama gani kinafuata nyayo za Nyerere?? Labda CCJ
Mkuu FMES, CCM hawafuati nyayo za baba wa Taifa; that's is very clear.
- Wakuu JF heshima mbele sana, According to the dataz nilizozinasa sasa hivi, ni kwamba Mwenyekiti wa CCM taifa ameitisha vikao vya dharura, yaani Kamati Kuu ya CCM Tarehe 28/3/10 na kingine cha NEC Tarehe 8/4/10 na kwamba ameamuru vikao vyote vifanyike Dar, Karimjee Hall,
- Kinachotisha hapa according to the dataz ni agenda ya hiyo mikutano miwili muhimu ambazo inasemekana anazo yeye mwenyewe kinyume na kawaida ya kutayarishwa na Katibu Mkuu, ambaye inaelezwa aliachwa solemba na Mkulu, alipojaribu kuitisha Secretariat ili ku-set agenda ya hivi vikao!
- Tayari kuna viongozi wameanza kuingiwa na homa kali kuhusiana na hii dharura, ambayo inaaminika kwamba kuna la mgambo nyuma yake kutokana na lugha ya ukali aliyoitumia Mkulu! Hali ya hewa ikitulia nitamwaga some more dataz sasa hivi noma, aahhggrr JF Where we dare mwanangu!
Respect.
Field Marshall Es = Wazee Wa Sauti Ya Umeme!
ccj wamefuata nyayo gani?ama ile kwenda kulia kwenye kaburi?Chama gani kinafuata nyayo za Nyerere?? Labda CCJ
Mkuu Es,
Kama nilivyosema bado nimebakiwa na chembe za imani na JK, na chembe hizi ndizo zinazonifanya niote ndoto kwamba the man is going to do something; I really don't want to be indenial kwamba he will abuse and lose the power to clean his own mess.
Leo hii watanzania wanamwona JK katika miono 3: (a) watu ambao walikuwa (na wanaendelea) imani naye, wanaona JK ana nafasi kubwa yakuweka historia Tz lakini anashindwa. Watu hawa wanashinda wakisali kwamba mungu ampe JK nguvu na ujasiri na achukuwe hatua ili Tz ibakie nchi ya amani naya utawala wa sheria. Kundi hili linakatishwa tamaa kuona kwamba bado JK ana urafiki wa siri siri na watu anaotakiwa awachukulie hatua, as the result JK losses trust of his own followers. Binafsi niko katika kundi lenye muono huu.
Muono mwingine (b) ni wa watu ambao walikuwa na imani haba na JK na makundi ndani ya CCM yakamomonyoa imani yao kwa JK. Hawa ndio wanaoshangilia mapungufu ya JK na kumshauri hasichukuwe hatua yeyote, ili kwa unafiki wao mafisadi washinde. Sadly JK seems to be giving in to these people.
Muono wa tatu (c) ni wa watu ambao ni waoga na wasiotaka mabadiriko ya kweli ndani ya CCM. Hawa wanaona tayari JK kafanya makubwa ambayo hayajawahi kutokea, including kufungua kesi za mafisadi (vidagaa). Hawa wako tayari at any cost ku accommodate mafisadi na wapiganaji ili wabaki chungu kimoja. Wanamtaka JK awe msuluhishi wa kesi yake mwenyewe badala ya kuwa muamuzi. Wanaamini kwamba JK anaweza kukivunja chama na amani endapo atachukuwa hatua. To their advantage watu kwenye muono (b) ndio wana feed kwenye muono (c) na kusababisha JK awe na wakati mgumu.
JK must wake up, and I pray he does. He must appreciate absence of life-long friend or enemy in politics. In politics friends can be just as deadly as enemies and so they should be treated....kama mafisadi wamefikia hatua ya kupata support ya wanajeshi crisis bells must go off and president must act. I live to think he will act, I don't want to think otherwise.
Mkuu FMES, CCM hawafuati nyayo za baba wa Taifa; that's is very clear.
JK must wake up, and I pray he does. He must appreciate absence of life-long friend or enemy in politics. In politics friends can be just as deadly as enemies and so they should be treated....kama mafisadi wamefikia hatua ya kupata support ya wanajeshi crisis bells must go off and president must act. I live to think he will act, I don't want to think otherwise.
Mkuu KP,Hakuna lolote katika hizi mikutano ambazo hazina mwelekeo wowote. CCM ni kundi la watu ambao wameunganishwa na "one common interrest"; Madaraka. Hawana wanachokiamini pamoja, hawana falsafa, hawana mwelekeo! Ni vitofauti vya hapa na pale tu visivyokuwa na impact yoyote katika mustakabali wa taifa hili.
Jambo kubwa hapa ni jinsi ya kugawana madaraka bila kuingiliana, hakuna jipya!
Mkuu KP,
Naomba nikusahihishe, hapo kwenye nyekundu isomeke UFISADI. Kila aliyeko CCM lengo lake ni ufisadi hata kama hana madaraka!
ccj wamefuata nyayo gani?ama ile kwenda kulia kwenye kaburi?
There could be some exceptional cases, but majority are fisadiz.Peasant taratibu na wenye chama ... unataka kusema wote walio ndani ya CCM ni mafisadi?
- Wakuu JF heshima mbele sana, According to the dataz nilizozinasa sasa hivi, ni kwamba Mwenyekiti wa CCM taifa ameitisha vikao vya dharura, yaani Kamati Kuu ya CCM Tarehe 28/3/10 na kingine cha NEC Tarehe 8/4/10 na kwamba ameamuru vikao vyote vifanyike Dar, Karimjee Hall,
- Kinachotisha hapa according to the dataz ni agenda ya hiyo mikutano miwili muhimu ambazo inasemekana anazo yeye mwenyewe kinyume na kawaida ya kutayarishwa na Katibu Mkuu, ambaye inaelezwa aliachwa solemba na Mkulu, alipojaribu kuitisha Secretariat ili ku-set agenda ya hivi vikao!
- Tayari kuna viongozi wameanza kuingiwa na homa kali kuhusiana na hii dharura, ambayo inaaminika kwamba kuna la mgambo nyuma yake kutokana na lugha ya ukali aliyoitumia Mkulu! Hali ya hewa ikitulia nitamwaga some more dataz sasa hivi noma, aahhggrr JF Where we dare mwanangu!
Respect.
Field Marshall Es = Wazee Wa Sauti Ya Umeme!
Kuna watoto wakisikia wazazi wanaongea wanaenda kusema kwa majirani kinachozungumzwa, au wazazi wanawaambia nenda kaseme?
- Bado tuna the Dibibis wawili humu JF, najua na wao siku inakuja karibuni sana, Bwa! ha! ha! ha! ha! ndio tutajua kama walikuwa wanatumwa na wazazi au waliwasikia tu kwa mbali Ha! ha! ha! ha! JF where we dare tutawafunua soon unless wamejifunua wenyewe ingawa wengine tayari wameshaanza, wewe mbunge maarufu kijana angalia sana hawa viajanw wawili maana tunajua kuwa huwa wanakufuata fuata lakini wewe huwajui watakuharibia jina bure maaluni hawa! Bwa! ha! ha! ha!
FMEs!
- ... lakini nina imani kubwa sana kwamba something is up, hizi nafasi za Katibu, Naibu Katibu na Secretariat, sitashangaa kama wote wakiondolewa.