CCM/CUF washambulia Wanaharakati- CDM wapinga kupitisha Mswada wa Mapitio ya Katiba

For 3 years Aden Rage had been imprisoned.

Being a prisoner for such term, means Rage had what we call 'prison effect'. Prison effect is the institutionalized effects which impair a prisoner ability to think critically and positively.

For me, I can't stand before Rage and share valued ideas simply has no point to make rather than thinking prison life which in large part has occupied central part of his brain. What Aden Rage is supposed to be asked, is about how he participated to ..........his fellow prisoners.

I hope Rage can tell good stories on prison life.
 
tanzania nchi ya ajabu,hadi raia wa nchi za nje kama somalia wanakuwa wabunge
 
Nimefutilia maelezo:

Yeye anaona maoni ya JUKWAA LA KATIBA hawana haki ya kutoa maoni, anaona nchi kama ya baba yake, sasa anataka wasitoe maoni, ila wennyewe watoe.

Anawatuhumu CHADEMA wanataka kuvuruga amani, Amani iko wapi ikiwa kama yeye alipanda na bastola juu ya jukwaa mbele ya wananchi? Amani gani anayoihubiri?
 
yeye ndo muhuni Rage,kuwafanya mahawala zake watumishi wake wa kike kwenye karedio kake ka V.O.T pale nyuma ya uhazili.
Kanatangaza taarifa ya hbr kwa kusoma magazeti

Ndio maana amekasifia sana hako karedio (VoT) eti anasema redio hiyo imesaidia kukusanya mawaźo ya wanatabora nzima juu ya katiba mpya.!!?
 
mh. Aden rage amewaita wanaharakati wahuni, amesema hayo wakati akichangia spika amemtaka afute hayo maneno, akasema ameyafuta ila asamehewe alikua na uchungu, nadhani dhidi ya nchi hii anayoipenda,

nawasilisha

Uchungu?
Labda uchungu wa kupoteza mji wa Kismayu ambao ndio ulikuwa ngome yao kuu.
 
Huyu mwizi si ndie mhuni,hili bunge bana lina makolokolo kibao,hivi ingekuwa enzi za TANU kweli Rage angepata kuwa mbunge ?kwanza hata jina lake kwenye shina lisingejadiliwa kwa kuwa kakosa sifa za uongozi mwizi kuanzia CDA alikofukuzwa hadi FAT walikomfunga .Ukiwa na rafiki mwizi nawe utaonekana mwizi na hao ndio wabunge wengi wa CCM,wengi wao matapeli,wengine wamewahi kushikwa na viungo vya albino,wengine ndio hao na vi EPA vyao ,wengine ndio hao mawakili wanatoza USD 1000 kwa siku kuisaidia Benki Kuu kwenye dili ambazo wao ndio wabia,naangalia list ya waheshimiwa wa CCM wasafi naweza kuwehasabu 1....10 basi
 
katika muendelezo wa kujadili mchakato wa katiba mpya katika vikao vya bunge linaloendelea muheshimiwa na mbunge wa singida bwana tundu lisu wabunge wa ccm wamemdhalilisha sana, haya ndio matamshi ambayo yametawala bungeni kwenda kwa muheshimiwa huyu:
  1. hajui sheria
  2. aje tumfundishe sheria tena tutamlipia.
  3. amesomea sheria chini ya mti.
  4. mwanaharakati feki.
  5. eti anajifanya ni msomi aliyebobea.
  6. anawadanganya wapiga kura wake.
  7. anajifanya mwanasheria je kasomea wapi sheria?
jamani bunge hili mbona kama naona ni bunge lenye majungu? Wenzangu naomba kuwasilisha.

napendekeza lissu amwage cv yake, kisha ipelekwe kwenye vyombo vya habari isambazwe tanzania nzima. Kisha tuchukue cv za walimtukana, tuzipitie vizuri tulinganishe, tuone nani anawahadaa wananchi
 
muhuni mwenyewe, namshauri aandae mazingira mazuri mapema ya nchi ya kukimbilia baada ya chama cha wazalendo kushika hatamu za uongozi! yeye na wahujumu uchumi wote tutawachapa hadharani kabla ya kuwafunga/kuwanyonga! that day is coming and is very close!
 
Aliye na CV ya TL aimwage jamvini jamaa wamefunga kikao wanaenda lunch, si unajua lazima wataingia jamvini waone wenye akili wanasemaje? Imwageni humu wakutane nayo. Maneno kama ya Rage ya kuita watanzania wenzake wahuni, mara amani, hiyo amani gani iliyopo watu wanalala njaa na kupigwa virungu kila siku?
 
Sijui niache kushabikia tena Simba f.c kwa sababu ya huyu msengeee Rage kwa kuidharau taaluma yangu, nchi yangu na watanzania wenzangu. *umamamamamamamamakoooooo Rage.
 
Tundu Lissu kasoma chuo kikuu Dar es Saalam, kakaa darasani, kafanya mitahani, maprofesa wamekubali anastahili kupata degree na wakampa kulingana na taratibu za kitaaluma. Na kazi za Lissu kama mwanasheria zinajulikana. Kwa mbunge kama Ole Sendeka (na wenzake) kukejeli elimu ya Lissu ni kwamba wana-doubt chuo kikuu cha Dar es Salaam, wana-doubt maprofresa waliothibitisha degree ya Lissu. Mtu kama Ole Sendeka ana qualifications gani za kumfanya amkejeli Lissu pamoja na chuo kikuu cha Dar es Saalam? (kudharu elimu ya Lissu ni sawa na kusema UDSM wanatoa elimu feki). Ole Sendeka na cheti gani?

Tuende kwa Rage. Huyu Rage is a convicted criminal and he should be behind bars na sio kwenye chombo cha kutunga sheria!

Nimalizie na ccm. Kwa ujumla wao CCM hawana moral authority ya kuchallenge uanasheria wa Lissu. Tangu lini wakajua sheria hawa ccm? Richmond, Dowans, Meremeta, Deep Green, Kagoda,Rada, Ditopille, Zombe - list ni ndefu, yote haya yamefanyika under the nose of CCM, wamefanya nini? Hii nchi imejaa manyang'anyi lakini ccm wanakaa kimya, leo hii wanapata wapi ujasiri wa kuengelea qualifications za mwanasheria wa viwango vya Lissu? Hasa huyu school leaver Ole Sendeka?

Na kwa nini wajikite kumshambulia Lissu (the person) badala ya hoja alizotoa? Wanajadili muswada au wanachambua uanasheria ya Lissu? Inakuwaje Spika anaruhusu wabunge kutumia kodi za watanzania kumjadili mtu badala ya kufanya kazi waliyotumwa? Tunafaidi nini sisi watanzania kwa kusikiliza wabunge wanazungumzia elimu ya mtu badala ya kujua muswada unafaa au haufai? Wameshindwa kuongoza nchi sasa wanajificha kwenye hoja za kujadili watu. Mufilisi wa kutupwa kabisa hawa CCM!
 
Asante kwa maoni yako. Natofautiana na wewe na bado hujanipa hoja ya kuniaminisha kuwa katiba ndio mwarobaini. Katiba iliyoko pamoja na kuisema ina mapungufu, inanipa fursa mimi na wewe kutumia jamii forum kujadili katiba kwa uhuru na hata kukashifu serikali na kutukana.

Kama unaamini kuwa Katiba ndio jawabu, na kuwa hatujawahi kuwa na Katiba nzuri, tujiulize tumevukaje miaka 50 toka tupate uhuru hadi sasa? Jawabu langu ni kuwa hatukuvushwa na Katiba. Wavuvi wanaamini, " isiyo kongwe haivushi". Tusijisahau tukatupa mtumbwi uliotuvusha siku zote tukadandia mtumbwi mpya ambao haujajaribiwa. Ni maoni yangu tu.

usitake kuniaminisha kuwa eti tu kwa sababu tunakatiba iliyotuvusha miaka hamsini kwa hiyo hatuhitaji nyingine kwa sababu tunaweza kuendelea na hii, hivi we hujiulizi ni kwa ni nini wasomali pamoja na kuwa na vita miaka yote hii lakini kwa nini wasomali bado wapo na kuna taifa linaloitwa somalia? Kwa hiyo we unafikiri kuwa katiba ya sasa haina mapungufu na ndio maana leo tunaishi na kusherekea miaka hamsini ya ya uhuru kwa hiyo unahisi kuwa tungekuwa na katiba mbovu Tanzania ingeshakufa.
 
Taja majina ya hao walimu washeria walio na uwezo wa kumfundisha Lisu tu google CV zao kwenye website ya Bunge.
 
CCM ni chama cha wachawi.wao kila kitu wantegemea kupiga ramli kwa waganga ndiyo wapeleke hoja bungeni.ndiyo maana wanatoana kafara sana na mwisho wao umefika maana siku zote shetani lazima ashindwe.walimwingiza jk kwa ushirikina ili apendwe leo hii anazomewa na kupigwa mawe kama alivyofanyiwa huko mbeya.nchi imewashinda kwa sababuya makafara.ni laana kwao nas vizazi vyao
 
Katika muendelezo wa kujadili mchakato wa katiba mpya katika vikao vya bunge linaloendelea muheshimiwa na mbunge wa Singida bwana Tundu Lisu wabunge wa CCM wamemdhalilisha sana, haya ndio matamshi ambayo yametawala bungeni kwenda kwa muheshimiwa huyu:
  1. Hajui sheria
  2. Aje tumfundishe sheria tena tutamlipia.
  3. Amesomea sheria chini ya mti.
  4. Mwanaharakati feki.
  5. Eti anajifanya ni msomi aliyebobea.
  6. Anawadanganya wapiga kura wake.
  7. Anajifanya mwanasheria je kasomea wapi sheria?
Jamani bunge hili mbona kama naona ni bunge lenye majungu? wenzangu naomba kuwasilisha.
Mara nyingi mjibu hoja anayeacha kujibu hoja husika na kuattack personality ya mtoa hoja inaamanisha kuwa mjibu hoja huyo amepanic kwa ukweli alioambiwa na mtoa hoja, na uropokaji wa namna hiyo mbele ya kikao cha msingi cha mbunge inadhihirisha kuwa wajibu hoja hawa ambao ni wabunge wa CCM wanasumbuliwa na tatizo la political tolerence, political immaturity nakadhalika.
 
Back
Top Bottom