Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,300
Huna maana kibwengo wewe!Maneno makali ya dharau yaliyotolewa na mb tundu Lissu jana kwa kweli yaliwafadhaisha wabunge wa chadema viti maalum Mh Raya hamisi na mwenzie kwa kweli niliwaona wameinamisha vichwa vyao chini wakijutia maamuzi ya wao kujiunga na chama hicho, maana hii imekuwa ni kawaida kwa Mh Lissu na wabunge wengine wa chadema kutoka bara kuwadharau wazanzibar na zanzibar, imekuwa ni majuto kwa wabunge hawa, nawashauri kuachia nafasi zao za ubunge na uanachama ili kulinda heshima ya wazanzibari na zanzibar.