Sijui atakwenda tena Mwanahalisi kushitaki ha ha haa hizo picha mkuu zitengenezee siredi yake.MOD wamemvumilia MS imeshindikana wamempa BAN naye leo. Ngoja ID zake Lukuki zianze....! Kamanda nina picha za bendera za CDM vijijini kabisa, ukisema CCM wanakuona mchawi wewe nitaziapload baadaye. CDM yapata nguvu za ajabu.