CCM Arusha kwatifuka: Mary Chatanda akataliwa; yeye asema "sing'oki"

Huyo mama Chatanda si salama hata kwa CCM yenyewe; Wana-Arusha, makao makuu ya ukombozi nchini, nashukuru kwamba mmetabua hilo mapema.

Chatanda ni mwanamke hatari sana kwa ustawi mzuri na umoja wa ki-Tanzania hakika nawaambieni. Eti kwa namna ya ajabu sana tu alidiriki kutukana Maaskofu na Mashehe hapo Arusha eti tu kwa kutetea njemba mmoja anayekumbatia ufisadi nchini kwa jina la Jakaya Kikwete????

Chatanda, hangaika nalo hilo laana la kutukana viongozi wetu wa kiimani mpaka siku utakaposema mwenyewe sala ya toba!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ccm mkoa wa Arusha,wamepigana,wakimpinga katibu wao Mary Chitanda,katika ugomvi huo chitanda amejeruhiwa,wapo kwenye hapa ccm mkoa
 
Kikombe cha babu kimezindua watu usingizini.Dawa ya babu itawamaliza CCM
 
leo majira ya saa kumi na nusu kumetokea vurugu hapa ccm mkoa arusha, Baadaya vijana kumtoa mary shitanda kwenye mkutano wekiimba hatutaki ondoka zako, kudadike...baada yakuona watu wanazidi kumzonga alichukuliwa na kuingizwa ndani na askali kanzu waliofika hapo na kufunga milango kuna wandishi wa startv na channel tel walibahatika kuingia ndani.. sijajua hasa chonzo ni nini

Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga.
Na bado. Mambo ndo kwanza yanaanza. Yameanzia Tarime, leo Arusha, I dont know who and where is next, Magamba jiwekeni sawa.
Ngoja nicheki pipooz pawa Iringa leo.
 
Waliopigwa risasi na maposili ni wana Arusha, bila ya kuangalia chama so watu wana asira anae. Ni kichapo tu. Mahakama haziaminiki so wenye nchi wemetafuta njia mbadala ya kushugulikia matatazo, next time itakua ni kichapo kwa JK
 
Tusubiri leo saa 2 usiku kama TBC1 wata-report hii habari.

itv,channel ten, tbc, startv, jf wako hapa..ila nimesikia mpigapicha wa tbc na wa itv wakise hii ni taarifa ya kesho..
 
Tusubiri leo saa 2 usiku kama TBC1 wata-report hii habari.

Wanaweza kuripoti lakini itakuwa ni habari ya kupendezesha ccm wala haitataja neno vurugu labda kama kuna mchadema humo ndani.
Hukuona tofauti ya taarifa yao na ya itv jana kuhusu tarime?
 
leo majira ya saa kumi na nusu kumetokea vurugu hapa ccm mkoa arusha, Baadaya vijana kumtoa mary shitanda kwenye mkutano wekiimba hatutaki ondoka zako, kudadike...baada yakuona watu wanazidi kumzonga alichukuliwa na kuingizwa ndani na askali kanzu waliofika hapo na kufunga milango kuna wandishi wa startv na channel tel walibahatika kuingia ndani.. sijajua hasa chonzo ni nini
Heehe vipi tena Crashwise leta news hapa!!!!!!!!!!
Watadai ni CHADEMA nini???????????
 
binafsi niko hapa ccm mkoa arusha sijamuona kwa macho lakini vijana wanaimba hawamtaki chitanda nainasemekama wamevuja mlango wa ofisi yake..kwasasa wameigia kwenye ukumbi wa mikutano..
This is serious i wish wam.............
 
itv,channel ten, tbc, startv, jf wako hapa..ila nimesikia mpigapicha wa tbc na wa itv wakise hii ni taarifa ya kesho..

Yaani pamoja na technology iliyopo hawa watu wanasema ni habari ya kesho. Wanaisafirisha hiyo habari kwa kutembea kwa miguu ama?
 
hongereni magamba kwa kushutuka chitanda si mtu mzuri hata kidogo kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla
 
Wanaweza kuripoti lakini itakuwa ni habari ya kupendezesha ccm wala haitataja neno vurugu labda kama kuna mchadema humo ndani.
Hukuona tofauti ya taarifa yao na ya itv jana kuhusu tarime?

Wakati mwingine inabidi ucheke maana report zinatolewe sivyo kabisa.
 
Sababu ya Mary Chitanda kukataliwa na UVCCM mkoa wa Arusha ni mpango wake wa muda mrefu wa kumtimua na kumpokonya kadi ya CCM mjumbe wa UVCCM Bwana Gumbo sijui kama jina nimelipatia kwa kosa la kumkashifu E Lowasa na Rostam Aziz kwamba ni mafisadi ndani ya vikao vya UVCCM taifa.
 
Back
Top Bottom