CCM Arusha kwatifuka: Mary Chatanda akataliwa; yeye asema "sing'oki"

Kikao kimeisha, nimejaribu kuuliza nikitaka kujua mwafaka wamekataa kusema.
 
Zipo fununu pia hata mwenyekiti wa CCM mkoa walikuwa hawapikiki chungu kimoja na katibu wa mkoa Mama Mery Chitanda hasa baada ya kitendo cha Mama Chitanda kuwadhalilisha maaskofu baada ya lile sakata la maandamano ya CHADEMA jijini Arusha.
 
hongereni magamba kwa kushutuka chitanda si mtu mzuri hata kidogo kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla

nasitika sana kwamba watz tumefikishwa hapo na kikundi cha wa2 wachache wasiozidi elfu 2! Naililia tz ye2. Guys with increasing corruption &economic hardiship coupled with high unemployment rate changanya na ahadi za kufikirika za bw mbayuwayu, hakuna salama nawaapia!
 
Pamoja wakuu hadi kieleweke.

MOD wamemvumilia MS imeshindikana wamempa BAN naye leo. Ngoja ID zake Lukuki zianze....! Kamanda nina picha za bendera za CDM vijijini kabisa, ukisema CCM wanakuona mchawi wewe nitaziapload baadaye. CDM yapata nguvu za ajabu.
 
MOD wamemvumilia MS imeshindikana wamempa BAN naye leo. Ngoja ID zake Lukuki zianze....! Kamanda nina picha za bendera za CDM vijijini kabisa, ukisema CCM wanakuona mchawi wewe nitaziapload baadaye. CDM yapata nguvu za ajabu.

Unamaanisha Malaria Sugu au Mohamed Shossi mana wote walikuwa sawa kimawazo.
Anyway yeyote awaye, mods wamefanya kazi yao vizuri.
 
je mkuu na arusha ni chadema? mbona nasikia ni uvccm? sasa kitanda mnamshambulia wa nini?
 
Malaria SUGU nadhani ID yake nyingie ni Mohamed Shossi!

Waache waeneze chuki, sisi tunapogoma.
Propaganda wanazotumia zimepitwa na wakati. Hata mtu wa kijijini huwezi kumdanganya na propaganda za mwaka 47.
Kama maisha magumu anayaona, ufisadi anauona, uzembe na ubinafsi wa serikali anauona. Sasa utamdanganya nani.
 
Vijana walikuwa wamevaa nguo za kijani? Wajumbe wa kikao walikuwa katika unifomu ya CCM (kijani)? Mary ameumia kwa kiasi gani? Naomba kujuzwa zaidi

Quality
 
Kweli inahatarisha amani ya viongozi wa magamba siku hizi kutwa nzima wanawaza CDM wanakula CDM wanaimba CDM hawalali wasiwasi umewajaa kwa kuhofia labda kesho Dr.Slaa atatoa list nyingine pressure inapanda pressure inashuka lol ni tabu tupu.
 
Acha machozi na damu za watu wasiokuwa na hatia ziwarudie mpaka watie akil maana malipo ni hapahapa duniani thnx
 
Ombi lako limesikiwa. Hata akikifuta (ingawaje najua hana ubavu huo) kitatokea chama kingine kinachotetea haki. Unajua uchakachuaji unaofanywa na CCM ndio unaosababisha matatizo makubwa hapa nchini.

Hebu fikiria tukio kama lile la tarime la juzi; Mbunge (aliyeingia kwa kuchakachua) wale anaosema walimpa kura hawataki kumwona wala kumsikia. Lema ameenda kuwapa pole, wakamkubali! Mbunge wa Arusha!

Damu mnayomwaga na uchakachuaji wenu, utawatokea puani.
KUMBUKA, WATANZANIA WAMEKUWA WAKIDANGANYWA SANA MUDA MREFU. WAMENYIMWA HAKI MUDA MREFU. LAKINI SASA WAMESEMA UONEVU BASI! TAFUTENI NCHI NYINGIME MNAPOWEZA KUWAFANYA WAJINGA. MUDA WA CCM UMEISHA.

KAMA TENDWA ANGEKUWA NA UBAVU, ANGEFUTA KWANZA CCM

QUALITY
 
Ni wakati wa John Tendwa kutumia katiba ya vyama vya siasa na maadili. kuangalia uwezekano wa Chadema kufutwa.
Ni chama kinacjhochea Vurugu kwani ndio maana matikeo mingi ya uvunjaji wa amani unaendelea.

tunachochea vurugu ili kuwafanya nyie mafisi wa uchumi wetu muache uhayawani wenu.
 
Back
Top Bottom