CCM Arusha kwatifuka: Mary Chatanda akataliwa; yeye asema "sing'oki"

MOD wamemvumilia MS imeshindikana wamempa BAN naye leo. Ngoja ID zake Lukuki zianze....! Kamanda nina picha za bendera za CDM vijijini kabisa, ukisema CCM wanakuona mchawi wewe nitaziapload baadaye. CDM yapata nguvu za ajabu.
Sijui atakwenda tena Mwanahalisi kushitaki ha ha haa hizo picha mkuu zitengenezee siredi yake.
 
Pengine hzo n laana ccm wamepata haiwezekan watoto wa bb na mm mmoja mkashikana mashati ukiöna hvyo ujue n laana c bure
 
Leo majira ya saa kumi na nusu kumetokea vurugu hapa CCM mkoani Arusha, baada ya vijana kumtoa Mary Shitanda kwenye mkutano wekiimba hatukutaki ondoka zako.

Baada ya kuona watu wanazidi kumzonga alichukuliwa na kuingizwa ndani na askari kanzu waliofika hapo na kufunga milango. Kuna wandishi wa star tv na Channel ten walibahatika kuingia ndani.

Sijajua hasa chanzo ni nini.

huyo mwanamama ni kilema wa akili .. . ! Ni fisimaji wa aina yake.
 
Lema Ndiye kaleta habari hii? Lema Yuko Tarime anashughulikia mauaji ya serikali kwa raia wake pale Nyamongo kama waziri kivuli wa mambo ya ndani maana waziri husika yuko Dar anashughulikia uvuaji wa gamba.
Chatanda uliyemwona Dar ni gamba lake sio mwenyewe

Aah ha ha ha He he he he kaacha gamba dar kaenda arusha kwa hiyo mwenzetu ndo keshavua gamba au atarudi kulivaa! Wewe kweli hujatulia.
 
Hivi lini Chadema wataitisha tena Maandamano Arusha ya kumtoa Meya?
 
Maandamano ya nini Arusha wakati mnajimaliza wenyewe.
Kwa hiyo unapingana na Tamko la Kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kuhusu hali ya Taifa? Maandamano mengine Arusha ni moja ya agenda, kama Maandamano hamna tena mmefanya vizuri
 
Hivi lini Chadema wataitisha tena Maandamano Arusha ya kumtoa Meya?

kabla ya siku zilizotolewa na kamati kuu ya cdm serkali ya ccm ilianza mazungumzo na cdm hivyo tuna sikilizia...vipi unahamnayo kama mimi?
 
kabla ya siku zilizotolewa na kamati kuu ya cdm serkali ya ccm ilianza mazungumzo na cdm hivyo tuna sikilizia...vipi unaham nayo kama mimi?
Mazungumzo yapi mkuu wakati Bungeni tulimskia Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisema hamna mazungunzo yoyote Arusha kuhusu MEYA, uchaguzi ulikuwa halali, labda utuasaidie upande wa Chadema wanawakilishwa na nani na upande wa CCM wanawakilishwa na nani kwenye hayo mazungumzo
 
Duhh! Hata mimi nilikuwa hapo CCM mkoa na wliokuwa na maduka pale chini wakawa wanataka kufunga maduka kw hofu ya vurugu. This is good because she was the cause of all the mess here in Arusha. We will here more kesho.
 
......damu iliyomwagika kwa sababu yake hakika haitamuacha popote atakapoenda!!! mimi nilifikiri wamemuua!!
 
CCM nchi imewashinda ss. Moro madereva wagoma tena. Kila kona ni violence against the system. ****** using'ang'anie vitu usivyoweza urais co lelemama.
 
Sababu ya Mary Chitanda kukataliwa na UVCCM mkoa wa Arusha ni mpango wake wa muda mrefu wa kumtimua na kumpokonya kadi ya CCM mjumbe wa UVCCM Bwana Gumbo sijui kama jina nimelipatia kwa kosa la kumkashifu E Lowasa na Rostam Aziz kwamba ni mafisadi ndani ya vikao vya UVCCM taifa.

unachanganya ndugu yangu vijana hao wanadai kuwa mary chatanda anamkingia kifua mrisho gambo wakati tayari kikao chao cha longido kilishamvua nafasi ya ujumbe wa baraza kuu la wilaya ya arusha
 
Ccm wana staili mbaya sana ya kung'oana madarakani. Wanashindwa kumtwanga barua wanabakia kusakasiana na kutumiana mamluki. Nape, get ready, son!
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom