Umekuja na zawadi gani?
Marejesho ya DECI au ya nini wewe?
Sorry, are yo he/she?
Karibu sana, usisahau nimekuwa wa kwanza
kukukaribisha.
Mimi ni she tena nipo A town!!
!
Baada ya kuwa mgeni kwa muda mrefu,leo nimepata msukumo wa kujitambulisha kwenu great thinkers!!Naomba mnipokee!!