Nikaribisheni BABU YENU

YE67NBE

JF-Expert Member
Nov 30, 2015
15,174
36,231
Wakuu za sahizi,

Mimi babu yenu nimeamua kujiunga nanyi leo, hii

Baada ya kuuona huu mtandao ukipewa support kubwa sana na watu mbalimbali

Mimi nime staafu kazi X niliyoitumikia kwa mika 35, mwaka 2016 rasmi hivyo nalea wajukuu tu,

Ningependa mnipokee wanajukwaa

Natanguliza shukran, kwenu 👐👐,

Muwe na weeknd njema
 
Mimi humu ndo babu lao.
 
Halafu ukute ndio Unique Flower kaamua kuja kivingine 😁 😁 .

Anyways kama ni babu kweli kuwa makini sio kila unaemuona kwenye dp ndie uhalisia wa muhusika.
Usipokuwa makini pesa ya mafao yote utaishia kuhonga kwa kibabu mwenzio kinachojifanya binti.

Humu hakuna pisikali kuna maajuza, mashangazi na masingle mama yanayotafuta second chance in life.
 
Unikome mtoto uliyelaaniwa na ukoo
 
Sawasawa, nimeelewa
 
Wakuu za sahizi,

Mimi babu yenu nimeamua kujiunga nanyi leo, hii

Baada ya kuuona huu mtandao ukipewa support kubwa sana na watu mbalimbali

Mimi nime staafu kazi X niliyoitumikia kwa mika 35, mwaka 2016 rasmi hivyo nalea wajukuu tu,

Ningependa mnipokee wanajukwaa

Natanguliza shukran, kwenu 👐👐,

Muwe na weeknd njema
Mika badala ya miaka ...

Kwa huu uandishi ni Bora wakudhulumu mafao huko ulikostaafia hiyo kazi Eksi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom