CAF Champions League

SIMBA bado wanaendelea kushikilia RECORD ya kuwalambisha mchanga (kuwatoa nyumbani kwao) ma-BINGWA Zamalek kama hao National Al ahly!

Kidogo sana Yanga walitaka kuiharibu!
 
Nasubiria magazeti pendwa ya wanajangwani yatakuja na lipi. 1. Fitina?? No no..basi lao hamkupanda na hotel yao
hamkukaa.
2. Mashabiki??? No no..hawakuwepo.
3. Red card???? No no...hamkupewa.
4. Magoal ya offside??? No no..hayakuwepo
5. Refa?? No no...alikuwa safi kabisa.
6..............????
 
Asanteni kwa kutupa Update wakuu...Poleni watani mrudi huku sasa nyumbani tuje tuumizane vichwa wenyewe!
 
Nimemkosa Heaven on Earth hivi hivi lol.
Ila poa tu ili tupate muda wa kufanya kazi,Ila kesho magazeti yatadoda.
Najua kwasasa Shaffih Dauda na jopo lake la clouds fm wanachekeleeeeeea
 
Last edited by a moderator:
Wakuu msaada tafadhari kwa walio angalia mechi.nasikia magori ya al ahly yalikua yote ya ofside.?
 
The lucky was not on our side heaven on earth but we tried...bahanuzi should not be blamed whatsoever...hajafanya makusudi
Polen sana.eti mlijitahd eti mlifanyaje hizo stor tu.cha msingi mmepigwa.rudini kwa ruvu shooting ndo saiz yenu
 
Magazeti kesho:Yanga Dume yatolewa na kwa Taabu

Yanga yawatisha waarabu!Yaonyesha kandanda safi

Yanga yawalazimisha sare waarabu,yatolewa kwa matuta

Yanga inatisha-warabu washindwa kuizimisha ndani ya dk 90!

Yanga imecheza soka la uhakika-inaweza kutwaa kombe la klabu Bingwa Afrika msimu ujao

Hakuna kama golikipa wa Yanga Afrika!Ni bahati mbaya tu

Yanga kama Arsenal-kandanda safi yawakosa kosa Waarabu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mkuu penati huwa hazina mwenyewe, lakini nafasi mbili tulizokuwa nazo tumezichezea

kipa kajitahidi ila bahanuzi na oscar wakulaumiwa tu,hata kama penalt hazna mwenyewe,
samahani kdg et hivi ngasa bado anaongoza ufungaji?abane mbup 2 atachukua kiatu!
Poleni watani,karbn tena kwenye ligi yetu ya mchangani
 
Back
Top Bottom