klabu ya Al ahly ya misri imeshindwa kutetea ubingwa wake baada ya kutolewa na klabu ya Al ahly benghazi ya libya.
Katika mechi ya kwanza Al ahly (misri) ilipoteza mchezo kwa kufungwa goli moja, na katika mechi ya marudiano Al ahly (misri) ilipoteza tena mchezo kwa kufungwa goli 3 kwa 2.
klabu zilizofuzu ni;
Al Ahly Benghazi (Lib)
Tp mazembe(DRC)
Esperance(Tun)
Sfaxien(Tun)
Es setif(Alg)
Al hilal(sud)
zamalek (misri)
vita club(DRC)