CAF Champions League

Tutajifariji kwa kauli hii 'Yanga wafa kiume'.
Wapi tunapojikwaa!!? Miaka nenda miaka rudi tunaendelea kufa aidha kiume au kishujaa!....lini tutaishi kiume!tutaishi Kishujaa? Sisi ni watu wa kufa tu kiume!!!!
 
ni mwiko mkubwa yanga kuvunja record ya myama kumtoa mwarabu ambaye ni mtetezi ahaha asanteni warabu uzalendo timu ya taifa tu period
 
nalala usingizi kwa nguvu zote kandambili ingeshinda tusingelala hapa, hongera Al-ahaly mmetuepusha na ban na stress
 
Wamekokota uzi wakifarijiana mpaka page 57 sasa simba tuwasaidie 57 zingine za jinsi wamejipoteza.

Mungu amewahurumia wasicheze 30minutes ingekuwa aibu wakapewa nafasi ya penalt wanaleta habari za mbuzi kafia kwa muuza kongoro.

Wanasema wamekufa kiume hawaelewi kufa ni kufa tu hamna kifo cha jinsia.

Yanga mechi za kimataifa bado sana
 
Magazeti kesho:Yanga Dume yatolewa na kwa Taabu

Yanga yawatisha waarabu!Yaonyesha kandanda safi

Yanga yawalazimisha sare waarabu,yatolewa kwa matuta

Yanga inatisha-warabu washindwa kuizimisha ndani ya dk 90!

Yanga imecheza soka la uhakika-inaweza kutwaa kombe la klabu Bingwa Afrika msimu ujao

Hakuna kama golikipa wa Yanga Afrika!Ni bahati mbaya tu

Yanga kama Arsenal-kandanda safi yawakosa kosa Waarabu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Umesahau hii....

"Ridhwani alimpigia Okwi simu wakati wa half time kumpa Moyo"
 
Magazeti kesho:Yanga Dume yatolewa na kwa Taabu

Yanga yawatisha waarabu!Yaonyesha kandanda safi

Yanga yawalazimisha sare waarabu,yatolewa kwa matuta

Yanga inatisha-warabu washindwa kuizimisha ndani ya dk 90!

Yanga imecheza soka la uhakika-inaweza kutwaa kombe la klabu Bingwa Afrika msimu ujao

Hakuna kama golikipa wa Yanga Afrika!Ni bahati mbaya tu

Yanga kama Arsenal-kandanda safi yawakosa kosa Waarabu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Yanga itatwaa Kombe la Dunia
 
Mtoto halali na helA ni nepi ya m.a.v.i na mkojo safari yao ndiyo imeshia hapa wajipange msimu mwingine wa BSS:Cry:
 
Back
Top Bottom