Umeona eee... yani ni kama mtu anabakwa halaf aseme du ila wamesumbuka eti baadaye sana ndio wamepata. Lakini wamepata
ukiona hela ujue wabongo huwa hawashindi kabisa..Dah mech hizi sio fair kabisa yaani ka penati kamoja tu kanawakosesha watu milion 400
Yaani we acha tu niliyaomba
yametimia, kesho mjini pasingekalika ila nawapongeza wamekufa kiume
yanga wana timu mzuri sana safari hii.
Wamekokota uzi wakifarijiana mpaka page 57 sasa simba tuwasaidie 57 zingine za jinsi wamejipoteza.
Mungu amewahurumia wasicheze 30minutes ingekuwa aibu wakapewa nafasi ya penalt wanaleta habari za mbuzi kafia kwa muuza kongoro.
Wanasema wamekufa kiume hawaelewi kufa ni kufa tu hamna kifo cha jinsia.
Yanga mechi za kimataifa bado sana
Tumekufa kiume
Hongera yanga. Mmetoka kishujaa.
baati haiji mara mbili...Al-Ahly ya msimu ilikuwa imafungika, ila useme tu wachezaji wa Yanga walilewa sifa kwa ka-goli kamoja walikopata hapa nyumbani wakasahau kwamba nako kalifungwa na Beki kwa baati.Mpira wetu bado sana!!kama tumewakosa safari hii hatutawapata tena.
Hayajui kucheza banaa ...Yanga iliongoza ikashindwa kujilinda..HOPELESS...wacha yarudi tu!! watmweza mwarabu gani?hawa!Ha ha haaa Aisee kwa kejeli hii lazima nicheke ingawa sifurahishwi na Tanzania kutolewa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Oh mara Wazee wa Uturuki, Wazee wa wiki leo mtaa wote kimya na taa zimezimwa. Tupa kule Yebo yebo.Kama kawa kama dawa,leo lazima waarabu wakae,na hiki hapa ndicho kikosi kitakachoanza kuwaua waarabu leo,Niyonzima ni mgonjwa nadhani ata kwenye bench hatakuwepo. Updates:HT-Al Ahly0-0Young Africans. Updatesk 73-Al Ahly1-0Yanga Updates:Full time-Al Ahly1-0Yanga Aggregate:Al Ahly1-1Yanga. Full time:Al Ahly6-5Yanga! Line up:Yanga. 1.Deo Munishi 2.Twite Mbuyu 3.Oscar Joshua 4.Nadir Haroub 5.Kelvin Yondani 6.Frank Domayo 7.Saimon Msuva 8.Mrisho Ngasa 9.Didier Kavumbagu 10.Emmanuel Okwi 11.Hamisi Kiiza Tetesi:Yanga wakiitoa Ahly watapewa 400m kama zawadi.
nikupe namba yake?
Nasubiria magazeti pendwa ya wanajangwani yatakuja na lipi. 1. Fitina?? No no..basi lao hamkupanda na hotel yao
hamkukaa.
2. Mashabiki??? No no..hawakuwepo.
3. Red card???? No no...hamkupewa.
4. Magoal ya offside??? No no..hayakuwepo
5. Refa?? No no...alikuwa safi kabisa.
6..............????