CAF Champions League

La 2 linanukia wala haliko mbali, yanga sasa hawajitambui wapo wapo tu wanakimbia uwanjani
 
Mnyama yenu ya prison leo yamewashinda mmebaki kuombea mabaya kwetu! Na dua zenu zitashindwa ndani ya dk 90
 
hapa ninapoangalia mimi kuna mtu anasikiliza redio kama mnavyojua redio inawahi kuliko tv sasa yeye akasema goli mara likaingia wasjabiki wa yanga wamempa kichapo heavy
 
Kipindi cha pili kinakaribia kwisha yanga bila hata shuti moja langoni
 
Back
Top Bottom