hahahhahaaaaaaaaaaaaa hata humu JF wapo wanaostahili kichapo heavy
ivi we dada mbona watu wanakufata fata sana,una kizizi-kuita
Nani katupiamo
Dakika ya ngapi?
Hivi yule shabiki nambari one wa yanga anaitwaga nani?
Nani katupiamo
Hayo Mambo ya Kizamani kufa Kiume ndio nini??!! washinde game basi sio longo longo eti kufa kiume,,na kufa kike ni kupi!!
Baby wa chalinze hongera, mmeshinda!!!!
Baba zangu waarabu msimalize mpira hadi mufunge magoli 3 ya ushindi muwarudishe yanga kwao !!! wasambaratike huko huko Alexandria!! wabebbe magoli yao!!waarabu fanyeni mambo mnatunyima raha huku