Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,517
- 25,722
Yanga wamepaki basi jaman, wanakaribisha mashambulizi
Wanaweza wakapigwa tano aisee....
Nitafurahi sana..
Yanga wamepaki basi jaman, wanakaribisha mashambulizi
maskini yanga wanakosa 400 m hivi hivi!!
Amini usiamini yanga inaendelea...
Afadhali kelele zipungue huku mtaani jembedahhhhhhhhhhh aiseeeeeeeeeee dak 71 waarabu goli dah
Hata wakitolewa watakuwa wamekufa kiume bana.
Huyu kipa wa yanga ananyunyizia nini aisee!
Nadhani hadi dk 90 ikiwa hivi matokeo wataingia kwenye matuta...ah....dk yangapi sasa...?ukiisha hivi inakuwaje...?
waarabu nipen rahaaaa
Vp matokeo