cacico am sorry...............ma sweetheart.

Hope baadaye utakuwa na manufaa.......si unaona cacico anavyoringa kujitokeza

perseverance s the great element of success. keeping knocking at the door louder and long enough you are sure of awakening someone inside. so sikati tamaa ushauri wako hapana kwasasa wala kwa baadae aisee.
 
Cacico plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz naomba umsamehe gfsomwin. Kufanya kosa sio kosa ila kurudia kosa ndio kosa.
Tafadhali msamehe machozi amedondosha mpaka amelegea.

Plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
pakio la hina linakuachia stains ila bwana niombee msamaha.

Kwa niaba ya gfsonwin namwombea msamaha kwako cacico

5143710_f520.jpg
 
Last edited by a moderator:
Cacico plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz naomba umsamehe gfsomwin. Kufanya kosa sio kosa ila kurudia kosa ndio kosa.
Tafadhali msamehe machozi amedondosha mpaka amelegea.

Plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz

thats why me luv u sana rutta.............. cacico please accept my apology ma sweetheart.
 
Last edited by a moderator:
basi ndugu yangu PakaJimmy niletee huyo kondoo na sale na ukoka nimwombe samahani anisamehe. kaka nakuaminia utanisaidia hadi asamehe.
We umepatia kabisa.Kumbe unayajua masale aiseea!! Basi mpelekee, na kondoo nishampakia kwenye gari inayokuja kufuata magazeti ya keso alfajiri. mpokee pale Sinza Kijiweni. Ukoka utapata hukohuko. Akiendelea kubisha nijulishe najua cha kufanya, wala asikutese mwaya. Si unajua ni mwanangu wa kufikia!
 
ahsante sana baba wa kufikia wa cacico ndugu yangu PakaJimmy. asubuhi hii nimeshampata na nimemwomba sana Asprin aaende sinza kijiweni akanichukulie huyo kondoo na sale ili twende tukaombe msamaha.ukoka nimeshapata. Mpenzi wangu Kaizer ndiye atakaye leta ukoka na Catherine atabeba maziwa kwenye kitela.
 
Last edited by a moderator:
Inakuwaje unakuwa careless kwa rafiki yako? Ebu niconvice......(Kipipi leo full mnato) LOL

ai wewe Kipipi, duh! nionee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio. sikumaanisha kuwa careless jamani rafiki yangu. kipipi kweli rafiki yangu an bended knees nisaidie mbona sitorudia tena. najua nimekosea jamani ndio maana sijajikweza jamani nimeshuka mpaka chini, kipipi sijihesabii kuwa na haki jamani nimbee mamaito. kumbuka kipipi me and you we are friends, nifae kwa wakati huu wa dhiki rafiki.
 
Last edited by a moderator:
lol! speechless..........! my dada who am i not forgive u jamani??? I believe kuna sababu ya msingi iliyokufanya ushindwe kufika na kutimiza yale tuliyokubaliana! japo niliumia coz i was ol all alone na twins my hubby Asprin ni shahidi, but nilifanikiwa at last! hayo yamepita my dear tuangalie mbele na kupanga mengine! what i need to u na chit chatters wengine wote ni sala zenu tu, ili hilo lililopo mbele yangu lipite salama! mi luv u all! especially my hubby Asprin who was there by my side ezch step of the way! mwahhhh to u my dada gfsonwin na shem Kaizer, wapambe wote humu ndani na marafiki wa ukweeeee mliokuja hapa chit chat kumfariji my friend na mimi! morning chit chatters!
 
Back
Top Bottom