cacico am sorry...............ma sweetheart.

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,274
20,673
Wapenzi wote wa chit chat tukianza na ma swtlo wangu Kaizer, MOD wetu Erickb52 pamoja na mumewe cacico Asprin akiwa ameongozona na wake wenzie BADILI TABIA na Yummy. bila kuwasahau wadogo zangu wa moyoni Excellent, Eiyer, Mbimbinho na mpendwa kuliko wote Smile. wote hawa ukijumuika na mashoga zangu wa ukweli sweetlady, Mwanajamii one, charming lady Kaunga Kongosho, Erotica na Preta ma rafiki zangu wote wa kiume na wakike wote kama vile Bishanga BAK mito na Roulette na wengine wote............

wote kwa pamoja naombeni mnisaidie kuomba msamaha kwa shostito wangu wa ukweli cacico.Shostito nisamehe sana i wasn't there when you needed me, and i feel guilty for that. Natamani uone muda huu niandikapo uzi huu malaika ni mashahidi nimepiga goti kukuomba shosti unisamehe. Najua kabisa kwamba akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli. Mimi nakiri kabisa toka kwenye sakafu ya moyo wangu sijakuwepo uliponihitaj ma sweetheart but doesn't mean sikupendi ma dearest.

Nihitimishe kwa kusema kwamba we are together katika maombi and naamini God will do the rest. please nisamehe sana ma dear friend. me love you sana tu. BAK naomba uniekee wimbo mzuri utakao sindikiza salamu zangu hizi za msamaha.

NB japo kuwa uzi uko chit chat i mean it, so please msiweke matani bali nisaidien mwenzenu natamani kuwa rafiki mwema.
 
Last edited by a moderator:
kwani kunani? Wengine leo tulishinda kanisani kwenye maombi.
Remmy dada mkubwa nimeshindwa kabisa kuwepo pale ambapo shoga yangu cacico alinihitaji. sijamfaa hata chembe kwenye dhiki iliyomkuta. niombee samahani jamani.
 
Last edited by a moderator:
shida nini tena jamani.....uwiiiiii.....usikute alikuwa na shida sana ukashindwa kuwepo..........
 
mamie gfsonwin, unaweza kufunguka zaid? make cjui nimekuelewa vibaya. . ni kwamba madame cacico alitaka muende somewhere but hukuweza kwenda ama?
 
Last edited by a moderator:
shida nini tena jamani.....uwiiiiii.....usikute alikuwa na shida sana ukashindwa kuwepo..........

ni kweli Preta alikuwa na shida na sikuwepo ili kumtia moyo...............najiskia mkosaji sana mamito..........lakin naamin atanielewa tu kwamba naomba sana sana anisamehe. talk to her jamani anisamehe.
 
Last edited by a moderator:
Leo leo, utakomaa......na uzembe wakoo......kutomjali mwenzioo! Lol
Kipipi yaani wewe badala ya kunisaidia ndo unautia utambi mafuta lol nsaidie shoga angu wa moyoni jamani..............nisaidie kusema naye anielewe
 
Last edited by a moderator:
mamie gfsonwin, unaweza kufunguka zaid? make cjui nimekuelewa vibaya. . ni kwamba madame cacico alitaka muende somewhere but hukuweza kwenda ama?

yes ma dearest na niekuwa nikimpromise mara nyingi sana lakin najikuta shughuli za kidunia zinanitinga kibaya zaid leo ndo deadline uwiiiiiiiiiiiiiii nachanganyikiwa..............mwenzenu nisaidieni anielewe.
 
Kama anataka kitu cha kuchinja sema nikutumishie kondoo toka soko la mnada la KwaMromboo. Maana wachaga bila kuchinjiwa hawatoi msamaha ng'oo!

basi ndugu yangu PakaJimmy niletee huyo kondoo na sale na ukoka nimwombe samahani anisamehe. kaka nakuaminia utanisaidia hadi asamehe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom