Ujinga tulioufanya mimi na rafiki wa Ma Mdogo wangu unanitesa sana

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Serious Issue
Wiki kama mbili hivi zilizoisha nilienda nyumbani kutembelea wazee, kama mjuavyo mapokeo ya huko Nanjilinji huwa ni yenye furaha na vifijo, ilikuwa vivyo hivyo kwangu mie

Siku ya pili tokea mapokeo yangu, kulikuwa na sherehe ya birthday kwa rafiki wa Ma Mdogo wangu, basi bhana nikaona wacha nikahudhurie, walau nioshe oshe macho. Mie sio mpenzi wa vyombo, hivyo nilibaki kushuhudia tu watu wanavyogigida Serengeti na Safari za kutosha. Kwenye mida ya saa 5 usiku, watu wote walikuwa nzwi huku wengine wakijaribu kutoweka eneo la tukio taratiiibu

Dakika chache baadaye, niliona wacha na mie nirudi zangu magetoni kupumzisha akili, lakini wakati natoweka mlangoni, nilisikia sauti ya rafiki wa Ma Mdogo ikiniita kwa taratibu, kugeuka hakuwa mwingine bali yeye, akaniambia kuwa ningoje Ma Mdogo aondoke kwa kuwa ana issue special anahitaji tuzungumze. Basi bhana, nikasogea kwenye kigiza nikatulia. Mida ya saa saba usiku niliwaona Ma Mdogo na mashosti zake watatu wakitoka mle ndani, ghafla muziki ulipunguzwa, ikabidi nijisogeze pale kumsikiliza. Akanikaribisha ndani na kunisihi sana ni-dance naye. Kutokana na kinguo alichokuwa amekivaa, jumlisha mimi mwenyewe ndo wa kiume, na mjuavyo kuwa wanaume tumeumbiwa lawama, tulijikuta tunabusiana na dakika tano baadae nilijikuta nishamtanua nikipiga kimoko cha fasta fasta bila hiari yangu. Nilikuja gundua kuwa nimefanya makosa baada tu ya kukojoa. Baada ya hapo niliinuka kifuani kwake kwa kasi na bashasha huku mwili ukitetemeka sana. Cha ajabu alijistiri vizuri na kuanza kuzungumza vitu ambavyo sikuvielewa, si mnajua tena akili za pombe?

Nitajaribu kuweka summary ya baadhi ya yale tu aliyoyabwabwaja:
•Tayari tumeshavunjiana heshima, iwe siri yako, nikiyasikia mahali utajuta kuzaliwa, nitakufanya kitu mbaya

•Mie sio mly, hata kufanya nawe huu ufuska sio kimasihara, bali nilipanga iwe hivi kwa kuwa nakupenda, sipendi kuchanganywa na mbwa jike nyingine katika maisha yangu

• Sio kwamba huwa napenda sana kulala na wanaume, ni kwa vile tu nafanya hivyo ili kupata pesa kwa kuwa mimi ndio tegemeo kubwa la wazazi wangu

• Sio kwamba napenda kumsaliti mume wangu, ni kwa vile yeye ni mzee na isitoshe hawezi kumudu tendo kwa muda mrefu

Baada ya hapo akaanza kujiliza sana huku akinihadithia historia ya maisha yake na wanae na wazazi wake. Dakika chache baadae nilisikia mchakacho wa mtu kama vile alikuwa anatusikiliza dirishani, ndipo nikaamua kuondoka kwa lazima. Cha kushangaza kesho yake hakuonesha dalili yoyote ya kile kilichotokea, yaani ni kama vile ilikuwa ni ndoto

Nilipojaribu ku-imagine shape, sura na age yake nilijikuta nikisononeka sana. Siku iliyofuata alikuja kwa Bi Mkubwa, nahisi ni baada ya kupata taarifa kuwa nilikuwa hapo. Alianza kufuatilia moment za wale akina dada niliokuwa nazungumza nao kiasi kwamba nikakosa hata uhuru kiasi cha kujiondokea. Siku iliyofuata, Bi Mkubwa alitengeneza ka sherehe ka ulaji na unywaji na kunitaka niwepo eneo la tukio ili ajivunie, cha ajabu bia zilipowakolea, huyo rafiki wa Ma mdogo alianza kufunguka japo kwa mafumbo sana huku akinitazama kama Simba mwenye hamu, nikajikuta napatwa na presha ya ghafla

Siku iliyofuata nikaamua kufunga safari kurudi Dar, hata x mass niliyopanga kuisherehekea nikiwa nyumbani, imenishinda

Moyo unanitesa sana dhidi ya hili jambo. Mwili wa huyu mwanamama sio wa kuvutia, ni tufe / tukunyema la mtu kiasi kwamba wanakijiji wakijua nitakuwa nimeua bendi. Isitoshe lina watoto wawili, wa kwanza ana 11 yrs wa kike. Nahitaji msaada wa kisaikolojia kwa kuwa endapo hii siri itafichulika huenda yeye mwenyewe kwa mdogo wake ama mmiliki wa ule mchakacho, nitaumbuka mwenzenu
 
Imeshatokea, jisamehe na kaa kimya, endelea na Maisha yako hakuna kitu unaweza kubadilisha, na kiukweli hayo ni mambo ya kawaida sana, wengi yamewakuta you are not special
 
Jinyonge
 
FB_IMG_17021395911671159.jpg
 
We ushaona mtu kalewa na we hunywi pombe tena mwanamke mke wa mtu halafu unamfuata na kuanza kucheza nae, nyege zimekuponza kijana. Kwanza ulivaa condom? au ushajiunga na umeme gridi ya taifa.
 
Badala uwaze kwenda kupima UKIMWI we unawaza eti heshima yako. Heshima gani umelala na mtu ambaye amekwambia kuwa huwa analalwa lalwa hovyo ili apate pesa kwa sababu yeye ndiye anategemewa na ndugu zake?

Subiri miezi mitatu ipite ukapime UKIMWI halafu mengine ndiyo yatafuata!
 
Badala uwaze kwenda kupima UKIMWI we unawaza eti heshima yako. Heshima gani umelala na mtu ambaye amekwambia kuwa huwa analalwa lalwa ili apate pesa kwa sababu yeye ndiye anategemewa na ndugu zake?

Subiri miezi mitatu ipite ukapime UKIMWI halafu mengine ndiyo yatafuata!
Wanawake wa hivyo vaa hata mifuko ya mikate, ninavyoogopa umeme.
 
Serious Issue
Wiki kama mbili hivi zilizoisha nilienda nyumbani kutembelea wazee, kama mjuavyo mapokeo ya huko Nanjilinji huwa ni yenye furaha na vifijo, ilikuwa vivyo hivyo kwangu mie

Siku ya pili tokea mapokeo yangu, kulikuwa na sherehe ya birthday kwa rafiki wa Ma Mdogo wangu, basi bhana nikaona wacha nikahudhurie, walau nioshe oshe macho. Mie sio mpenzi wa vyombo, hivyo nilibaki kushuhudia tu watu wanavyogigida Serengeti na Safari za kutosha. Kwenye mida ya saa 5 usiku, watu wote walikuwa nzwi huku wengine wakijaribu kutoweka eneo la tukio taratiiibu

Dakika chache baadaye, niliona wacha na mie nirudi zangu magetoni kupumzisha akili, lakini wakati natoweka mlangoni, nilisikia sauti ya rafiki wa Ma Mdogo ikiniita kwa taratibu, kugeuka hakuwa mwingine bali yeye, akaniambia kuwa ningoje Ma Mdogo aondoke kwa kuwa ana issue special anahitaji tuzungumze. Basi bhana, nikasogea kwenye kigiza nikatulia. Mida ya saa saba usiku niliwaona Ma Mdogo na mashosti zake watatu wakitoka mle ndani, ghafla muziki ulipunguzwa, ikabidi nijisogeze pale kumsikiliza. Akanikaribisha ndani na kunisihi sana ni-dance naye. Kutokana na kinguo alichokuwa amekivaa, jumlisha mimi mwenyewe ndo wa kiume, na mjuavyo kuwa wanaume tumeumbiwa lawama, tulijikuta tunabusiana na dakika tano baadae nilijikuta nishamtanua nikipiga kimoko cha fasta fasta bila hiari yangu. Nilikuja gundua kuwa nimefanya makosa baada tu ya kukojoa. Baada ya hapo niliinuka kifuani kwake kwa kasi na bashasha huku mwili ukitetemeka sana. Cha ajabu alijistiri vizuri na kuanza kuzungumza vitu ambavyo sikuvielewa, si mnajua tena akili za pombe?

Nitajaribu kuweka summary ya baadhi ya yale tu aliyoyabwabwaja:
•Tayari tumeshavunjiana heshima, iwe siri yako, nikiyasikia mahali utajuta kuzaliwa, nitakufanya kitu mbaya

•Mie sio mly, hata kufanya nawe huu ufuska sio kimasihara, bali nilipanga iwe hivi kwa kuwa nakupenda, sipendi kuchanganywa na mbwa jike nyingine katika maisha yangu

• Sio kwamba huwa napenda sana kulala na wanaume, ni kwa vile tu nafanya hivyo ili kupata pesa kwa kuwa mimi ndio tegemeo kubwa la wazazi wangu

• Sio kwamba napenda kumsaliti mume wangu, ni kwa vile yeye ni mzee na isitoshe hawezi kumudu tendo kwa muda mrefu

Baada ya hapo akaanza kujiliza sana huku akinihadithia historia ya maisha yake na wanae na wazazi wake. Dakika chache baadae nilisikia mchakacho wa mtu kama vile alikuwa anatusikiliza dirishani, ndipo nikaamua kuondoka kwa lazima. Cha kushangaza kesho yake hakuonesha dalili yoyote ya kile kilichotokea, yaani ni kama vile ilikuwa ni ndoto

Nilipojaribu ku-imagine shape, sura na age yake nilijikuta nikisononeka sana. Siku iliyofuata alikuja kwa Bi Mkubwa, nahisi ni baada ya kupata taarifa kuwa nilikuwa hapo. Alianza kufuatilia moment za wale akina dada niliokuwa nazungumza nao kiasi kwamba nikakosa hata uhuru kiasi cha kujiondokea. Siku iliyofuata, Bi Mkubwa alitengeneza ka sherehe ka ulaji na unywaji na kunitaka niwepo eneo la tukio ili ajivunie, cha ajabu bia zilipowakolea, huyo rafiki wa Ma mdogo alianza kufunguka japo kwa mafumbo sana huku akinitazama kama Simba mwenye hamu, nikajikuta napatwa na presha ya ghafla

Siku iliyofuata nikaamua kufunga safari kurudi Dar, hata x mass niliyopanga kuisherehekea nikiwa nyumbani, imenishinda

Moyo unanitesa sana dhidi ya hili jambo. Mwili wa huyu mwanamama sio wa kuvutia, ni tufe / tukunyema la mtu kiasi kwamba wanakijiji wakijua nitakuwa nimeua bendi. Isitoshe lina watoto wawili, wa kwanza ana 11 yrs wa kike. Nahitaji msaada wa kisaikolojia kwa kuwa endapo hii siri itafichulika huenda yeye mwenyewe kwa mdogo wake ama mmiliki wa ule mchakacho, nitaumbuka mwenzenu
Sijawahi kujuta kupiga pussy inayojisogeza yenyewe
 
Back
Top Bottom