Nampenda Dr. Slaa kama mmoja wa viongozi ninaodhani (bila kujali itikadi ya chama) wanaweza kuwa na manufaa kwa Taifa mbeleni. Lakini napitia kipengele kidogo cha CV yake kama kinavyoonekana hapa chini
. PADRI WA KANISA LA KATOLIKI 1977-1978-1979-1980-1981-1982-1983-1984-1985-1986-1987-1988-1989-1990-1991
2. Mkurugenzi wa maendeleo (Jimbo Katoliki la Mbulu). 1977-1979-1982-1985
3. Katibu Mkuu, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), 1985-1991
4. Mkurugenzi Mtendaji,chama cha wasioona Tanzania, 1992-1998
5.Mbunge wa Karatu 1995-2010
Ni dhahiri kwamba Dr. Slaa ametumika sana kanisanai mwa Bwana. Sasa najiuliza sana nini kilimtoa kanisani/madhabahuni na kukimbilia siasa? Je alifukuzwa huko kanisani? Na kama alifukuzwa kuna mwenye data ni kwanini? Au ni kiu tu ya kuwa RAIS? Au kuna zaidi ya hilo? Je kondoo wa Bwana walimshinda na sasa anataka awachunge watanzania?
Ni hayo tu
Swali lako ni la msingi na huenda likajibiwa ila tegemea pia matusi ya Wafuasi wa CHADEMA au post yako kuhamishwa au wewe kufungiwa! we kama unataka hayo yasikupate basi ulitakiwa umsifie tu Slaa na Chama chake ndio salama yako!!!