Kwa Kweli Hii kozi..si Ya kushauri Mtu kuja Kusoma...nilivYokuwa advance nilikuwa nikisikia eti Chuo Utasoma kwa raha Sana kuliko advance but Naona Mambo Yamekuwa vice-versa Mziki wa Chuo ni Nouma Hasahasa BVM leo Lecture Ya Nne Notice Ni Over Biological Science< BS > duuh kuna Hii Part Ya anatoMY ndo imeniua Kabisa..kitu Haimezeki..kabisa...sasa Ndo Nimeamini Ya kwamb Hata T.O akija kusoma hii kozi lazma atembelee tumbo...

hahahahhahahahah kijana kama unaona huko tait njoo huku engineering tu resolve forces!!! bado hujachelewa nafasi bado zipo!!! komaa mkubwa!!!!Kwa Kweli Hii kozi..si Ya kushauri Mtu kuja Kusoma...nilivYokuwa advance nilikuwa nikisikia eti Chuo Utasoma kwa raha Sana kuliko advance but Naona Mambo Yamekuwa vice-versa Mziki wa Chuo ni Nouma Hasahasa BVM leo Lecture Ya Nne Notice Ni Over Biological Science< BS > duuh kuna Hii Part Ya anatoMY ndo imeniua Kabisa..kitu Haimezeki..kabisa...sasa Ndo Nimeamini Ya kwamb Hata T.O akija kusoma hii kozi lazma atembelee tumbo...