BVM BVM BVM Ni Nouma

Dogo acha kulialia. unadhani wwe ni wa kwanza kusoma bvm? chezea sua wewe? kaulize.. wala hutakiwi kuja hapa jamvini, labda unataka wazee wa vet wazae na wewe.
 
Kwa Kweli Hii kozi..si Ya kushauri Mtu kuja Kusoma...nilivYokuwa advance nilikuwa nikisikia eti Chuo Utasoma kwa raha Sana kuliko advance but Naona Mambo Yamekuwa vice-versa Mziki wa Chuo ni Nouma Hasahasa BVM leo Lecture Ya Nne Notice Ni Over Biological Science< BS > duuh kuna Hii Part Ya anatoMY ndo imeniua Kabisa..kitu Haimezeki..kabisa...sasa Ndo Nimeamini Ya kwamb Hata T.O akija kusoma hii kozi lazma atembelee tumbo...

========================================================================

Ulizoea kunyonga, kuchinja huwezi. Kama ulidhani kusoma ni starehe, fanya, baadae DISCO. Na mbaya zaidi ukimaliza BVM hakuna ajira za moja kwa moja, labda uombe kibarua kuuza duka la mifugo!!!!!!!!! Pole sana kijana mshamba.
 
Kwa Kweli Hii kozi..si Ya kushauri Mtu kuja Kusoma...nilivYokuwa advance nilikuwa nikisikia eti Chuo Utasoma kwa raha Sana kuliko advance but Naona Mambo Yamekuwa vice-versa Mziki wa Chuo ni Nouma Hasahasa BVM leo Lecture Ya Nne Notice Ni Over Biological Science< BS > duuh kuna Hii Part Ya anatoMY ndo imeniua Kabisa..kitu Haimezeki..kabisa...sasa Ndo Nimeamini Ya kwamb Hata T.O akija kusoma hii kozi lazma atembelee tumbo...

Acha kulalamika wewe, badala ya kusoma unakuja JF kulialia na una bahati point hazikukurusu kwenda pale muhas, ungepambana na Anatomy, Biochemistry na Physiology!
 
dogo ww hiyo ni mwanzo bado prof. wambura ,prof. mallago na wengne kibao ....yaani unapewa mtihan una maswli 100 kila mtu la kwake yaani hakuna kuangalizia ...dogo komaa ila ukichoka sana kupiga msuli unaenda facaulty a.k.a kahumba
 
Taaluma zingine ngumuuuuu, inaisoma muda mrefuuu na future yake pia nayo hailewekagi
 
Kwa Kweli Hii kozi..si Ya kushauri Mtu kuja Kusoma...nilivYokuwa advance nilikuwa nikisikia eti Chuo Utasoma kwa raha Sana kuliko advance but Naona Mambo Yamekuwa vice-versa Mziki wa Chuo ni Nouma Hasahasa BVM leo Lecture Ya Nne Notice Ni Over Biological Science< BS > duuh kuna Hii Part Ya anatoMY ndo imeniua Kabisa..kitu Haimezeki..kabisa...sasa Ndo Nimeamini Ya kwamb Hata T.O akija kusoma hii kozi lazma atembelee tumbo...
hahahahhahahahah kijana kama unaona huko tait njoo huku engineering tu resolve forces!!! bado hujachelewa nafasi bado zipo!!! komaa mkubwa!!!!
 
Back
Top Bottom