BVM BVM BVM Ni Nouma

ze dudu01

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
235
15
Kwa Kweli Hii kozi..si Ya kushauri Mtu kuja Kusoma...nilivYokuwa advance nilikuwa nikisikia eti Chuo Utasoma kwa raha Sana kuliko advance but Naona Mambo Yamekuwa vice-versa Mziki wa Chuo ni Nouma Hasahasa BVM leo Lecture Ya Nne Notice Ni Over Biological Science< BS > duuh kuna Hii Part Ya anatoMY ndo imeniua Kabisa..kitu Haimezeki..kabisa...sasa Ndo Nimeamini Ya kwamb Hata T.O akija kusoma hii kozi lazma atembelee tumbo...
 
Jee BMW nayo unaionaje mziki wake??????
 
anatomy ni hatari hakuna kuelewa hapo ni full kumeza..mimi nipo MD nayo ni nouma

duuh kaka kheri Yako wewe unasoma System Ya binadamu mimi Hapa mara Ng'ombe,mbuzi,mbwa,nguruwe,na baadh Ya ndege duuh kichwa kinahisi kupasuka
 
komaa kijana, ndo elimu ya bongo hiyo, hapo bado huja soma minyoo 2,500 sisimiz alf1 utitiri, kupe, papasi, chawa, kunguni na wengineo. komaa kijana utatoka tu
 
Akupe ushauri gani wakati shida yako ni kutaka watu wajue uko chuo kikuu? Si vizuri mwanangu kutuhukumu watanzania wote. Nyie msomao wakati huu mna bahati kuna uhuru na sayansi, Ungesoma zama zetu si ungekuwa kichaa kama siyo kukimbia chuo? Hata hivyo uko pale kusoma na si kusoma kwa starehe vinginevyo usingekuwa hapo. Hata sisi maprof tunaofundisha si kwamba ni raha bali kuchapa kitabu ili uwape watoto maarifa.
 
Kwa Kweli Hii kozi..si Ya kushauri Mtu kuja Kusoma...nilivYokuwa advance nilikuwa nikisikia eti Chuo Utasoma kwa raha Sana kuliko advance but Naona Mambo Yamekuwa vice-versa Mziki wa Chuo ni Nouma Hasahasa BVM leo Lecture Ya Nne Notice Ni Over Biological Science< BS > duuh kuna Hii Part Ya anatoMY ndo imeniua Kabisa..kitu Haimezeki..kabisa...sasa Ndo Nimeamini Ya kwamb Hata T.O akija kusoma hii kozi lazma atembelee tumbo...

kaka pole sana, ila komaa tu na wala uckate tamaa, mambo yataeleweka naamini.
 
Sasa badala ya kusoma uko huku unalalamika!...katafute madesa muda huu wewe!
 
Amini nakwambia ukisoma BVM usome kwa nia tena nia kutoka moyoni siyo ya kuitwa Dr,

Then ujue muda wako wa kulala utapungua na kuwa angalau masaa 3 au 4 kwa siku, uzembe uwe mwiko kwako na hao walimu wa sua siyo mchezo hawana masihara wala mzaha hata kama baba yako ni VC wanakula kichwa kama kawa.

Darasa la mwaka huu mpo wengi sana hivyo chekecheke la kuwachuja linapunguzwa unene fasta, piga buku jomba tena usije tena hapa. Baadhi yao wanapita humu watajua hamna kazi hivyo workload yaja....
 
Ukiwa bvm huna hata nafasi ya kutumia boom. Tafuta mdada mmoja hapo class, mkabe bumu lenu mnunue kiwanja muanze kujenga tu. Ila taratibu, naniliu mkifanya stress reliever mtamaliza chuo na 3 kids.
 
Kwa Kweli Hii kozi..si Ya kushauri Mtu kuja Kusoma...nilivYokuwa advance nilikuwa nikisikia eti Chuo Utasoma kwa raha Sana kuliko advance but Naona Mambo Yamekuwa vice-versa Mziki wa Chuo ni Nouma Hasahasa BVM leo Lecture Ya Nne Notice Ni Over Biological Science< BS > duuh kuna Hii Part Ya anatoMY ndo imeniua Kabisa..kitu Haimezeki..kabisa...sasa Ndo Nimeamini Ya kwamb Hata T.O akija kusoma hii kozi lazma atembelee tumbo...

EU ikifika utaelewa tu,test one bado haijatangazwa?
 
Back
Top Bottom