Bungeni: Shibuda aongelea hatma yake ndani ya CHADEMA!

binafsi sioni ajabu kwa aliyozungumza kwa sababu hata alipotoka CCM alizungumza kwa jinsi hiyo hiyo. Ni jukumu la CHADEMA kuamua kama wamfukuze au wamwache kwani walionywa tangu mapema kwamba yule bwana katumwa na CCM kwenda kufanya kazi maalum huko CHADEMA.

Kwenye kumbukumbu zangu Dr slaa alimuonya uyo kibudu asije chadema kufanja fujo. Shibuda ni kaka kunguru afugiki bora tukose jimbo kuliko yeye kuwepo maana hana msahada wowote cdm natamani ingekua hata kesho RIP KIBUDU

Shibuda hana kitu mwacheni ajikaange mwenyewe, ila musimuusishe na mipango yenu ya kupambana na magamba.Ameishiwa sera anatafuta umaarufu msimpe nafasi hiyo mpuuzeni.

Mi naona CDM hawajashindwa kumfukuza huyu jamaa, bali wanatumia utaratibu mzuri wa kumzunguka sana na kukusanya ushahid mzuri ili hata wakimfukuza wawe na hati hata za Ushaidi, Usishangae Kahongwa na Chama cha Mafisadi (CCM) ili avuruge wapigania haki zetu, na usishangae wana hata barua ya makubaliano na mafisadi, Tusiwalaumu wapigania haki maana ni watu makin sana.

Duh..shibuda nimemkubali asee.anatisha poleni kwa mliokerwa I IS JUST LIFE the way the cook crumble.

Hivi wewe unawaza vyema au unauza kwenye sheli iliyo na mkataba wa kujaza magari ya Ikulu? unakubalikubali utumbo tu bila hata kureason, hata mkeo nahis akichukuliwa utaendelea kukubali tu mzee, pole sana.

Kibudu ni noma kwenye matumizi ya masaburi kuongelea ana phd masters
Bora hakahimbe taarabu na mzee yuzufu

Shibuda ndiye atakaye loose more ukilinganisha na Chama. I would fully support kumfukuza Shibuda ili awe mfano . Yeye (Shibuda) atapoteza ubunge (income) na itakuwa siyo rahisi kuhamia chama kingine kwenye uwezo wa kumfanya ashinde uchaguzi.

Chibuda haitaji chama kushinda Ubunge japo kikatiba anahitaji chama ili kuwa na sifa ya kugombea Ubunge, yeye sio kama Wabunge wengi wa Chadema wanaohitaji chama ili washinde, yeye ni kama Cheyo, wanajiuza wenyewe..

SINA UHAKIKA NA IQ YA HUYU MZEE, Toka alipokuwa CCM nilikuwa namfuatilia sana. Ana yale mambo ya vijana wadogo wanaotaka attention. TUNAJUA IQ LESS THAN 75 ANATAKIWA GROUP HOME. sina uhakika kama hayupo karibu na hapo

Mbunge wa Maswa John Magale Shibuda ametumia nafasi aliyopewa kuchangia hotuba ya Mali Asili na Utalii kuwaponda viongozi wake wa Chadema na kwamba wananchi wa jimbo lake wapo nyuma yake. Aidha ametumia nafasi hiyo kuwaponda waandishi na wahariri wanaobeba ajenda za viongozi wa kisiasa akiwalenga hasa wa Chama chake wanaoendelea udhalimu na maslahi binafsi.

Maneno kama kamati kuu ya Chadema, viongozi dhalimu, kukosekana kwa demokrasia yamejirudia sana kwenye hotuba yake. Wakati akisema hayo wabunge wengi wa Chadema kama Msigwa, Lucy Owenya na Christina Lissu wameonekana wanyonge sana

Siyo wanyonge walikuwa makini kusikia kilichosemwa na shibuda siku ya hukumu asije

CDM hawakumsaidia chochote Shibuda kushinda Maswa, na wakimtoa CDM hata wafanye nn jimbo hawalipati n'go. Na niwajuavyo wasukuma hakuna mtu wa CDM atakae ruhusiwa kukanyaga Maswa na ndio utakuwa mwisho wao. Ndio maana jamaa anawaendesha atakavyo kwani mkimwaga ugali yeye anamwaga mboga

Potelea mbali jimbo lipotee kuliko kuwa na mtu kama shibuda. Hivi haoni amepoteza muda bure badala ya kuchangia hoja zinazohusiana na bajeti ya wizara husika yeye anaeleza mabo ya chama bungeni! Hivi walimtoa wapi huyu? Anaudhi sana! Na kwa nini speaker hakumzuia? au kwa vile alijua ataongea mabo ambayo ni negative kuhusu chama chake?

Shibuda aichana chana CHADEMA, hivi chadema ni nguo, karatasi au kitu gani mpaka ichanwechanwe??? ma great thinker wanaotumia MASABURI BANA......

Kwa kweli mimi huyu jamaa yuko kama mrema ni mamluki huyu ametumwa na ccm,maana aliwai kuchukua form ya upresident kwa tiketi ccm alafu akakimbia bila kurudisha card ya uanachama.

Hivi bunge letu limekuwa sehemu ya watu kuzungumzia mambo ya vyama vyao?.. hivi kweli tumekosa maswala muhimu ya kitaifa bungeni hadi kuzungumzia hatma ya Shibuda Chadema na watu wakakaa na kumsikiliza!..
Hili bunge kweli bunge au tunapotezeana muda tu.

Jambo la busara kabisa la kufanya hapa ni kuandaa mkutano mkubwa wa cdm Maswa. Katika mkutano huo wananchi waelezwe kila kitu kuhusu shibuda kisha waulizwe kama bado wanamhitaji. Jibu litakalotoka hapo litekelezwe

kweli ww ni kiziwi, unahitaji kuzibuliwa masikio yako, acha ushabiki na upenzi jamaa amewaumbua sana sana ! hamlali leo dodoma, au mtaitisha maandamano ya kulaani kauli za shibuda?

sio kuzibuliwa masaburi?

Mleta hoja siyo mkweli ni mzushi mkubwa.Nimemsikia kwa makini wakati shibuda anachangia bajeti ya maliasili zinazoibwa na mistu.Hakusema hilo.

aliyosema ni yapi tofauti na haya yaliyoletwa? tafadhali tuwekee humu kwa mbao bahati mbaya hatukusikiliza bunge

Hakika Shibuda amezungumza kile kilichopo ndani ya Chaga Dema ! Mbowe amegeuza chama kuwa maslahi yake binafsi na kusahau kwamba kila anachopenda yeye sio maamuzi ya Chama bali ni utashi wake binafsi na Mkwe wake Mzee Mtei ambaye ndy mwanzilishi wa Chaga Dema. Wapo wabunge ambao hakika hawawezi na kamwe roho zao hazitavumilia kuona posho za wabunge zinaondolewa kwa kuwa hawana namna ya kupata pesa isipokuwa hizo posho kama vile SUGU, Mch MSIGWA , Mnyika, Mdee, nk. Ila kwa kuwa msemaji wa chama hiki ni Mbowe na ndy anayetoa kauli ya Mwisho na walio wengi wanaogopa udikteta wake ndy maana wataendelea kufyata mikia kama mbwa koko.

Wote mmeshuhudia Mbowe, Mfanyabiashara mkubwa wa Utalii jinsi alivyokuwa mstari wa mbele katika kuwatetea wawekezaji wa kigeni ktk sekta hii muhimu tofauti na ambavyo wengi wenu mmemzoea, hii inatokana na ukweli kwamba hapa ana maslahi makubwa yanayomfanya hata asihitaji posho za wabunge. Sasa SUGU wewe una nini ?

Back
Top Bottom