Bungeni: Ngeleja atoa hotuba kali na yenye amri

Hakuna chochote full usanii dawa ni moja tu, Ngeleja nilifikiri atatangaza kuachia ngazi kumbe porojo tu ama kweli anakichwa kigumu sana jamaa.

serikali hiii hii ndiyo iliyoiua TIPPER kusudi majambazi wauza mafuta watutafune kama kuku wa kizungu, ngoja tuone labda inaweza toka kwenye u-wassira

Leo Ngeleja kawapa COPEC leseni ya kutuuzia mafuta.Wameula,nimependa jinsi serikali ilivyoonyesha ukakamavu na ukali.
KUMBE SERIKALI INA AKILI IKIAMUA EEH??

Iteitei Lya Kitee!
Please don't live in illusion life!
what they are doing about COPEC is another frauding pool! ask yourself the following:-
TANESCO has been producing the cheapest power [hydro electric] known on earth, yet the corporate is in ICU do you know why?!!!!
Because no body is held responsible for the same. Somebody will cause a disastrous loss yet will be Transferred from TANESCO to TRA from TRA to diplomatic mission abroad. That is what exactly going to happen to COPEC.

,tuwapigie makofi mara tatu,

pa pa pa hongera,papap pa Imara, pa pa pap a waaaaaaa.CCM oyeeee

Commercial Petroleum Company of Tanzania Limited(COPEC)

Hii COPEC ni nini? Isije ikawa dili kitu kama ile Richmond Dowans Meremeta na ufisadi type and likes

mchakato wa kuipata hiyo kampuni wa kuipatia hiyo kampuni uliaza lini na walishindanishwa na makampuni gani?
bado sioni sababu za kwanini hawakuipa TPDC kazi hii,au hawaiamini,which means hajiamini?

HIVI TUKOJE WABONGO,lets applause them jamani sasa kuwaponda ya nn tena???

mkoje nyie,wametoa tamko then tuwasupport sio kusema ooh hawawezi oooh lege lege,mbona hamna shukrani wabongo???Mie nawapongeza ni hatua nzuri na yenye nuru,wewe kama huwezi ona japo chembe ya compliment kalegee legee na mpnzio.

Yaani tuwashukuru magalasha kwa lipi?pamoja na kutunyonya kote huku tuwapigie makofi?Nina mashaka na uzalendo wako Hawa watu si wakuwaamini hata kidogo,fikiria mara mbili kwanza ndipo ushangilie.

In absence of radical changes from visionary leaders there is nothing fundamental change that will come out.

Leo Ngeleja kawapa COPEC leseni ya kutuuzia mafuta.Wameula,nimependa jinsi serikali ilivyoonyesha ukakamavu na ukali.

KUMBE SERIKALI INA AKILI IKIAMUA EEH??

Haya ndio matatizo ya magamba mpaka kelele ipingwe na kuwa jambo la dharura ni kuiaibisha serikali legelege.

mchakato wa kuipata hiyo kampuni wa kuipatia hiyo kampuni uliaza lini na walishindanishwa na makampuni gani?
bado sioni sababu za kwanini hawakuipa TPDC kazi hii,au hawaiamini,which means hajiamini?

This is from The East African newspaper back in 2009 The East African:  - Business |Tanzania to set up a new company to import oil

A new state-owned firm is set to enter the lucrative Tanzanian oil marketing business which, since its liberalisation in 1999, has been in the hands of the private sector.

The Commercial Petroleum Company of Tanzania Ltd, which will be a subsidiary of Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC), set up to specifically importing bulk oil into the country, will start a new era in the oil sub-sector, whose operators have been accused of forming price cartels and fuel adulteration.

To ensure its sustainability, however, Copec will have to enter into a joint venture with a private firm.

Already, the TPDC tender board has floated an international tender inviting interested firms or consortia.

Yona Killagane, the TPDC managing director, told The EastAfrican last week that the joint venture will be responsible for the importation and distribution of petroleum products within and outside the country.

Mr Killagane said Copec will work just like any other oil marketing firm in the sector.

The formation of Copec comes almost three years after the original decision for the government to enter the oil business was made.

Sources however told The EastAfrican last week that, owing to the time taken to implement it, there are suspicions of powerful political forces trying to thwart the bid.

The re-entry of TPDC into the oil business is aimed at stabilising the sector's operations, enhancing security of oil supplies in the country and maintaining price stability.

A survey by the Energy and Water Regulatory Authority has shown that bulk procurement of oil through term tenders had helped stabilise consumer prices in countries like South Africa, Namibia and Mozambique.

TPDC had earlier wanted bulk procurement carried out either jointly by oil importing companies or by a single player to achieve lower consumer prices for the commodity.

TPDC long ago submitted its business plan and a Cabinet paper on oil trading and a strategic petroleum reserve procurement scheme.

The Cabinet is said to have reviewed the proposals and directed TPDC to submit an implementation report, indicating that the corporation's working capital will be taken into account in the next financial year.

The re-entry of TPDC into the lucrative oil business is the result of an unprecedented three-year-long fuel price rise that has caused fears of the national economy grinding to a halt.

In addition, through TPDC the authorities will be able to collect accurate oil importation data for taxation and other purposes.

The corporation's role was previously that of overseeing and developing infrastructure for storage and transportation of petroleum in the country.

Besides the oil business, TPDC also spearheads Tanzania's efforts to introduce the first ever natural gas compression plant to power motor vehicles and for domestic use.

The shift is expected to halve both the cost and dependence on charcoal and petroleum products, hence reducing gas emissions and the cost of living.

Until June this year, the country had saved more than $1 billion from the use of natural gas in electricity generation and industrial production.

According to Mr Kilagane the pilot project had targeted to provide compressed natural gas to 30,000 households and 8,000 cars in Dar es Salaam, before it spreads across the country during the second phase which is pegged on availability of funds.

The project will greatly reduce the country's reliance on imported liquefied petroleum gas, petrol and diesel for both cooking and running cars.

"This project will minimize the impact of environmental degradation and save huge amounts of money spent on fuel imports and it will also help reduce poverty," explained Mr Kilagane.

Exploitation of the natural gas will greatly depend on lowered costs that must come from government tax waivers on compressors, dispensers, conversion kits and cylinders in order to reduce service costs.

However, only cars running on petrol will be compatible with gas conversion kits, and that already six cars had been converted by last week at a cost of $1,200-$1,500 depending on the size of the vehicle.

Ah nilikuwa sina habari hiyo....

Ila nimejifunza kutafakari kabla ya kutoa pongezi kwa kaserikali haka

Leo Ngeleja kawapa COPEC leseni ya kutuuzia mafuta.Wameula,nimependa jinsi serikali ilivyoonyesha ukakamavu na ukali.

KUMBE SERIKALI INA AKILI IKIAMUA EEH??

sasa hapo ukali uko wapi? Pendekezo la kuiwezesha TPDC kununua mafuta lilitolewa miaka minne iliyopita sasa kutangaza kuipa leseni leo huku tukiwa kwenye kibano cha wauza mafuta ndo ukali huo! Ungekuwa ukali kama angetoa amri ya kufutiwa leseni mara moja wauza mafuta wote waliogoma sio hizi boring ngonjeraz.

Watu wengine bwana eti tushangilie tamko la Ngeleja... Mzee Makamba kweli alipatia,aliposema watanzania ni wasahulifu sana. Wewe unadhani . COPEC iliyopewa leseni itatua matatizo ya mafuta ndani ya muda mfupi hivyo. Kwanza unaweza kukuta wamekurupuka kutangaza hivyo ili kutuliza hasira za wananchi. Katika bajeti iliyokataliwa ya wizara ya madini na nishati ulisikia hiyo kitu? Tunafanyiwa usanii,tunashangilia kama mazuzu!

[Leo Ngeleja kawapa COPEC leseni ya kutuuzia mafuta.Wameula,nimependa jinsi serikali ilivyoonyesha ukakamavu na ukali.
KUMBE SERIKALI INA AKILI IKIAMUA EEH??]

Hata EWURA walitoa tamko kama lake lakini utekelezaji wake ndo umekuwa kama ilivotokea hata sasa!!

Bila transparency na accountabilty Copec is another meremeta of black gold kind in the making.

ulisikia wapi CCM wakaongea pumba kila siku wanongea point ila nchi ndiyo HII issue kwao ni usimamizi, hawapo wasimamizi wenye uchungu na nchi hii ila wapo wenye uchu na nchi hii hao ndiyo wengi

Ngeleja alikuwa wapi siku zote mafuta ya taa yamewatesa walala hoi akawa kimya leo kwa sababu wamegusa shangingi lake ndiyo anajifanya ana amri ILA MUNGU AIPONYE TZ YETU NA HAWA WATU

,tuwapigie makofi mara tatu,
pa pa pa hongera,papap pa Imara, pa pa pap a waaaaaaa.CCM oyeeee
Commercial Petroleum Company of Tanzania Limited(COPEC)

pole sana dada ujawajua hawo wasanii angalau nguvu ulizotumia kuwapigia
makofi ungeulia mbu hawo wanaamshwa ndiyo waseme na baada ya muda
kidogo wanarudi usingizini sasa wameshalala tena ni masharabaro hawo
heri niendelee kuishi porini kiliko kushuhudia hayo ambayo binadamu wanayapata

kikupacho raha na uchungu kitakupa

Back
Top Bottom