Bungeni: Ngeleja atoa hotuba kali na yenye amri

Iteitei Lya Kitee

JF-Expert Member
Jan 2, 2008
586
46
Leo Ngeleja kawapa COPEC leseni ya kutuuzia mafuta.Wameula,nimependa jinsi serikali ilivyoonyesha ukakamavu na ukali.
KUMBE SERIKALI INA AKILI IKIAMUA EEH??
 
,tuwapigie makofi mara tatu,
pa pa pa hongera,papap pa Imara, pa pa pap a waaaaaaa.CCM oyeeee
Commercial Petroleum Company of Tanzania Limited(COPEC)
 
Some interests has been declared ndo maana wamefikia hiyo hatua!!
 
Sina hakika kama serikali hii itaweza kutekeleza haya inayoyasema,kama usanii fulani hv!
 
Hakuna kitu hapo........... Kumbukeni hata richmond iliingia kwa namna hii............
HIVI TUKOJE WABONGO,lets applause them jamani sasa kuwaponda ya nn tena???
mkoje nyie,wametoa tamko then tuwasupport sio kusema ooh hawawezi oooh lege lege,mbona hamna shukrani wabongo???Mie nawapongeza ni hatua nzuri na yenye nuru,wewe kama huwezi ona japo chembe ya compliment kalegee legee na mpnzio.
 
HIVI TUKOJE WABONGO,lets applause them jamani sasa kuwaponda ya nn tena???<br />
mkoje nyie,wametoa tamko then tuwasupport sio kusema ooh hawawezi oooh lege lege,mbona hamna shukrani wabongo???Mie nawapongeza ni hatua nzuri na yenye nuru,wewe kama huwezi ona japo chembe ya compliment kalegee legee na mpnzio.
<br />
<br />
kwan hili tamko la kwanza,uzoefu ndio unaonesha kuwa huwa hawafanikiwi kama unaofia kuwaponda sawa,,,,kama wewe si mbongo ok,,,,maana umejiengua kwa maelezo yako
 
,tuwapigie makofi mara tatu,
pa pa pa hongera,papap pa Imara, pa pa pap a waaaaaaa.CCM oyeeee
Commercial Petroleum Company of Tanzania Limited(COPEC)
umeniboa kusema chama cha magamba oyeee mpaka watu wagome ndio wajidai kuja na usanii wao hapa...pumba tu hizo za ccm
 
Back
Top Bottom