Bungeni: Majibu ya hoja za wabunge bajeti 2011/2012

Mkuu Edson endelea kutumegea. Mimi TANESCO wamechukua nguvu yao ya nishati kwa hiyo TV kimyaaa!! Uchungu. Afadhali Mama Clinton atuletee Nuclear Power (Ujerumani wana i abandon!!)
 
Hivi Mkulo anamanisha nini kupunguza posho ambazo hazina tija..hivi hawa magamba wanaweza kutambua posho ambazo hazina tija kweli? Daah hapa naona giza tu..ccm kamwe haiwezi kufuta posho hata siku moja..
 
kutokana na maelezo anayotoa Mkulo juu ya posho: ni kwamba safari bado ni ndefu hadi posho zifutwe.
 
Anasema hawawez kufuta posho, et utaanzaje kuwaambia majenerali wastaafu wa Jeshi kuwa posho zao zimefutwa?, si unataka ugomvi?. Ninavyoona hapa hakuna nia dhabit ya kuondoa sitting allowance.
 
kutokana na maelezo anayotoa Mkulo juu ya posho: ni kwamba safari bado ni ndefu hadi posho zifutwe.

Unajua posho zinatumika kuwadanganya wafanyakazi wa serikali. Zikiondolewa ghafla mtaona matokeo yake. Hapa lazima kuwe na MCHAKATO wa kuziondoa na kupandisha mishahara
 
Anasema hawawez kufuta posho, et utaanzaje kuwaambia majenerali wastaafu wa Jeshi kuwa posho zao zimefutwa?, si unataka ugomvi?. Ninavyoona hapa hakuna nia dhabit ya kuondoa sitting allowance.

Mkuu posho siyo sitting allowance peke yake zipo posho nyiiingi ambazo ukiondoa sitting allowance tu nazo haziponi!!
 
Mkulo anashindwa kuelewa. tunachotaka ni kufutwa kwa sitting allowance ukiwa eneo la/muda wa kazi.
 
Mkulo anashindwa kuelewa. tunachotaka ni kufutwa kwa sitting allowance ukiwa eneo la/muda wa kazi.

Mkuu hili ni suala jepesi sana. Mkulo akikubali tu kufuta sitting allowance lazima afute na posho zingine nyiiingi ambazo nazo hazina mashiko kama sitting allowance na hana hela ya kulipa mishahara. Unajua posho si haki kwa hiyo kama OC ni kidogo posho hailipwi lakini akiongeza mshahara itakuwa kazi kweli kwa kuwa mshahara ni haki itabidi uulipe tu hata kwa kukopa!!! Anajua akiondoa posho tu watu watadai mishahara/ Posho ni kichaka cha serikali katika kuwapunja wafanyakazi haki zao!!
 
Dah yaani!. Hoja ya posho ni kama vile imezikwa?. Haya kura za NDOYO na HAPANA ndiyo muda wake.
 
Umeme umekatika simuoni Mkulo na ka laptop kangu nako sasa kameishiwa umeme siwezi kuona JF. Kilichobaki ngoja niende kwenye club ya pombe nipate moja moto moja baridi kwa kuwa leo nina kaposho ka kikao ili ni kaenjoy hako kaposho kabla hakajafutwa!! POSHOOOOOO
 
Wanatuzingua hawa jamaa, utaratibu wa kuitana majina ni kupoteza muda, haiwezekani umuulize mtoa hoja et unategemea aseme SIYO? ,
 
Kweli LOWASA anabifu na wenzake, lilipofika jina lake kuitwa kuna mtu akaropoka eti MTORO.
 
CCM andikeni mmeumia 2015 twaja na kasi ya rocket, bajeti yenu mbovu mno. rostam hayupo bungeni, lowassa hayupo. ccm wanafiki sana huo ndo mwisho wenu
 
Back
Top Bottom