Bungeni: Majibu ya hoja za wabunge bajeti 2011/2012

Leo hakuna kuuliza wanaoafiki waseme Ndiyo na wasioafiki waseme Siyo. Leo anaitwa mmoja mmoja kwa jina na anasema NDIYO au HAPANA. Hapa ndo tuwaangalie wawakilishi wa kweli wa wananchi na wanafiki!.
 
Leo hakuna kuuliza wanaoafiki waseme Ndiyo na wasioafiki waseme Siyo. Leo anaitwa mmoja mmoja kwa jina na anasema NDIYO au HAPANA. Hapa ndo tuwaangalie wawakilishi wa kweli wa wananchi na wanafiki!.

Kwa ufupi tuwatofautishe MAGAMBA dhidi ya wabunge.
 
Waziri wa fedha anawashukuru wananchi na wabunge kwaa kuiunga mkono budget kwa 100%
 
Hotuba ya upinzani imekubaliana kwa kiasi kikubwa na bajeti ya serikali. Yale waliyotofautiana nao hayawezi kutekelezeka kutokana na hali ya uchumi kwa sasa.
 
Waziri wa fedha anawashukuru wananchi na wabunge kwaa kuiunga mkono budget kwa 100%

Wamepataje asilimia mia moja? Kichekesho ni kwamba hata wabunge wa CCM walikua wakiunga mkono asilimia mia moja walikuwa wakiikosoa, kwa maeneo fulani kukosekana. This is controvesy
 
Leo hakuna kuuliza wanaoafiki waseme Ndiyo na wasioafiki waseme Siyo. Leo anaitwa mmoja mmoja kwa jina na anasema NDIYO au HAPANA. Hapa ndo tuwaangalie wawakilishi wa kweli wa wananchi na wanafiki!.
Mkuu hao wa magamba ni wengi kuliko vyama vya upinzani, na kwa chama cha magamba wote itakuwa NDIYO and dont be surprised bajeti itapita kiulaini na mapungufu tuliyoyaona.
 
Waziri wa fedha anawashukuru wananchi na wabunge kwaa kuiunga mkono budget kwa 100%
makubaliano ndani ya vikao vyao vya ccm wanaleta bungeni eti ndo wabunge na wananchi tumeunga mkono nilivyosikia hivyo nimeishiwa imani kabisa na zile 10% zangu juu ya serikali
 
Kwenye Mahoteli makubwa: atakaekataa kupokea shilingi na kutaka kulipwa kwa dolla mteja atoe taarifa na hatua za kisheria kuchukuliwa hii ni kwa mTZ
 
Waziri amesema ni marufuku kukataa kupokea pesa ya tanzania yaani TSHS kwa kutaka dollar. Ukikataa SHS unaripotiwa polisi ama hazina ili uchukuliwe hatua
 
Marekebisho ya kodi kwny mafuta ya dizel , kupunguza ushuru wa mafuta mazito na ya taa.
 
Marekebisho ya ushuru kwenye diesel na mafuta ya taa.

Kupunguza tozo kwenye bidhaa za mafuta:

Diesel exercise duty inapunguzwa toka Tshs. 314 kwa lita hadi Tshs. 256 kwa lita ukiunganisha kupunguza tozo na duty jumla ya punguzo ni TShs. 325.5 kwa lita ya diesel lakini punguzo haianzi leo wala kesho itatangazwa baadaye.
 
Kupunguza bei za mafuta kutapelekea kuongezeka kwa uzalishaji na hatimae uchumi kupanda.
 
Kanuni za fuel bulky purchase ziko tayari kwa mchapaji na punde zitatolewa na mafuta kuagizwa in bulky. Hizi ni hatua za kupunguza bei ya mafuta.

Mungu wangu umeme umeenda!!
 
Back
Top Bottom