Ole wao CCM wa influence Katiba iwapendelee wao as a ruling party, then waje washindwe 2015 na Chadema ndio wawe ruling party. CCM watalia na kusaga meno!
If they are smart, new katiba iwe as neutral and beneficial kwa nchi na si ruling party.
Ukweli ni kuwa ningependa sana CCM kiwe chama cha upinzani kwa katiba hii ya sasa kwa mwaka mmoja tu halafu ibadilishwe. Itawasaidia sana kujua kwa nini wenzao wa upande wa pili wana akili zaidi na hoja zenye mashiko zaidi kuliko wao. Bahati mbaya ni CCM haiwezi kamwe kuondoka madarakani kwa Katiba hii, mfumo huu wa kisheria uliopo na ukiongezea ujinga na umaskini wetu watanzania .