simply
muswada wa marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya katiba umepita
Sasa anaongea Wasira, anampongeza Mhe. Mbowe kwa ku compromise, give and take ndio decent politics!.
Final Update.
Muswada umepita!.
Kesho muswada huo unaletwa rasmi DSM na kulazwa ofisi ya bunge DSM. Jumatatu asubuhi, Katibu wa Bunge, Dr. Thomas Kashilila atabisha hodi Ikulu, na kuukabidhi rasmi.
JK atausani fasta fasta hata Jumatatu hiyo hiyo ili tangu J.4 uwe sheria.
Barua za mialiko kwa wadau kupendekeza majina ya wajumbe zitatolewa.
JK atateua wajumbe 14 kutoka bara na 14 kutoka Zanzibar pia atamteau M/Kiti na Katibu, jumla watakuwa 32.
Wataapishwa Ikulu.
Tarehe 01/03/2012 Tume ya Kukusanya Maoni Itaanza Kazi!.
Asanteni na Kwaherini.
Pasco.
Mkuu Uwezo Tunao, Pasco ni mwandishi wa kujitolea tuu wa jf, hajaajiriwa popote, hafanyi kazi kwenye newsroom yoyote, wala hayoko chini ya yoyote na sio mwanachama wa chama chochote, ndio maana utamuona kwenye mazuri ya serikali, upinzani au lolote, atasifu, na kwenye uborongaji nitabonda, haijalisi ni JK na serikali yake, au ni CCM, Chadema au chama chochote, na hata JF pia huwa naisifu ikifanya vema, na pia nyundo naibonda ikichemsha. Absolute fereedom of speech ndio his way huku akisimama kwenye "nothing but the truth" with objectivity na impartiality!. My newroom is my PC!.Bado sijakuelewa! Mkuu Pasco wala si kawaida yako kujikanyaga kanyaga katika maelezo yako leo kuna nini hapo newsroom?
Au ni hawa vijana wako akina Meena ndio wanakupotezeshea frequencies huko bungeni?
Either, or!.may be i miss something here
Hapa atatumika DC or DED?
Uwezo Tunao, hii ni tume ya rais, hivyo hadidu za zajea zitatolewa na rais!.Hadidu za rejea ya tume zitatokana na chombo gani?????????????????????
`wanabodi,
ule mjadala wa jana kuhusu marekebisho ya sheria ya marekebisho ya katiba, yale malumbano ya jana kuhusu matumizi ya ma dc au ma ded umemalizika rasmi!.
Makubaliano hayo yamewakubali wote wawepo, ma ded na ma dc wawepo, ila tume imepewa mandate ya kuwatumia yoyote kati ya hao pale itakapoona inafaa!.
Kuliibuka tena malumbano ambapo lissu aliibua tifu upya, ag, akamkomalia kuwa mbona jana alikubali, mwisho kub, mhe. Freeman mbowe alikubali kufunika kombe mwanaharamu apite kwa kukubali yaishe. Muswada ukapita!.
my take!.
Muswada umepita!.
Kesho muswada huo unaletwa rasmi dsm na kulazwa ofisi ya bunge dsm. Jumatatu asubuhi, katibu wa bunge, dr. Thomas kashilila atabisha hodi ikulu, na kuukabidhi rasmi.
Jk atausani fasta fasta hata jumatatu hiyo hiyo ili tangu j.4 uwe sheria.
Barua za mialiko kwa wadau kupendekeza majina ya wajumbe zitatolewa.
jk atateua wajumbe 14 kutoka bara na 14 kutoka zanzibar pia atamteau m/kiti na katibu, jumla watakuwa 32.
Wataapishwa ikulu.
Tarehe 01/03/2012 tume ya kukusanya maoni itaanza kazi!.
Asanteni
pasco.
But when it comes to defending EL, every word mentioned up there turns inside out... huh!Mkuu Uwezo Tunao, Pasco ni mwandishi wa kujitolea tuu wa jf, hajaajiriwa popote, hafanyi kazi kwenye newsroom yoyote, wala hayoko chini ya yoyote na sio mwanachama wa chama chochote, ndio maana utamuona kwenye mazuri ya serikali, upinzani au lolote, atasifu, na kwenye uborongaji nitabonda, haijalisi ni JK na serikali yake, au ni CCM, Chadema au chama chochote, na hata JF pia huwa naisifu ikifanya vema, na pia nyundo naibonda ikichemsha. Absolute fereedom of speech ndio his way huku akisimama kwenye "nothing but the truth" with objectivity na impartiality!. My newroom is my PC!.
Thanks!
Pasco.
mkuu uwezo tunao, pasco ni mwandishi wa kujitolea tuu wa jf, hajaajiriwa popote, hafanyi kazi kwenye newsroom yoyote, wala hayoko chini ya yoyote na sio mwanachama wa chama chochote, ndio maana utamuona kwenye mazuri ya serikali, upinzani au lolote, atasifu, na kwenye uborongaji nitabonda, haijalisi ni jk na serikali yake, au ni ccm, chadema au chama chochote, na hata jf pia huwa naisifu ikifanya vema, na pia nyundo naibonda ikichemsha. Absolute fereedom of speech ndio his way huku akisimama kwenye "nothing but the truth" with objectivity na impartiality!. My newroom is my pc!.
Thanks!
Pasco.
Mkuu Uwezo Tunao, Pasco ni mwandishi wa kujitolea tuu wa jf, hajaajiriwa popote, hafanyi kazi kwenye newsroom yoyote, wala hayoko chini ya yoyote na sio mwanachama wa chama chochote, ndio maana utamuona kwenye mazuri ya serikali, upinzani au lolote, atasifu, na kwenye uborongaji nitabonda, haijalisi ni JK na serikali yake, au ni CCM, Chadema au chama chochote, na hata JF pia huwa naisifu ikifanya vema, na pia nyundo naibonda ikichemsha. Absolute fereedom of speech ndio his way huku akisimama kwenye "nothing but the truth" with objectivity na impartiality!. My newroom is my PC!.
Thanks!
Pasco.
Mkuu PK, utetezi wangu kwa EL ndio ukweli wenyewe!, wengi wanadhani zigo ni lake, no!, zigo kabebeshwa muda muafaka ukifika, atalibwaga hilo zigo na mwenye zigo lake mtajua!.But when it comes to defending EL, every word mentioned up there turns inside out... huh!
KUB, anawasihi wabunge wa upinzani, tukubali yaishe, twendeni tukatengeneze katiba ya nchi, katiba ni muhimu kuliko vyama vyetu!
Anashangiliwa na bunge zima!.
Kama unaujua ukweli kwanini usiuseme?...are you party to the crime?Mkuu PK, utetezi wangu kwa EL ndio ukweli wenyewe!, wengi wanadhani zigo ni lake, no!, zigo kabebeshwa muda muafaka ukifika, atalibwaga hilo zigo na mwenye zigo lake mtajua!.
Hapo umeeleweka Pasco,ila nijavyo mimi DED anafanya kazi chini ya DC kwa vyovyote vile hapa atakayekuwa anafinal say katika hili atakuwa DC
kwa nini mara zote upinzani ndio wanalazimishwa kukubali yaishe huu ni uonevu kama kukubali ni raha kwa nini wao nao wasie wanakubali yaishe yani upinzani ndio wapoteze wao washinde this is not right uonevu mtupu.
Mkwe21, kama ulifikiri Zanzibar ni mkoa au wilaya, you are wrong!. Muungano wetu ni muungano wa nchi mbili zenye hadhi sawa, equal status regarless of size and population. Kama ni ndoa, ni ndoa ya kiserekali ambao wana ndoa wote wanahaki sawa, japo mmoja kaoa na kulipia mahari, huku mwingine ni kula kulala, ndoa ikivunjika mnagawa mali sawa!. Ingekuwa ni ndoa ya kimila, aliyelipa mahari ndie aliyeoa na ndiye mwenye mali akipata lions share, kwenye muungano we are equal partners, kila kitu cha muungano ni pasu pasu!.Hii naona imeshakuwa kuna Tatizo!! Haiwezi kuingia akilini Katika Wajumbe kuwe na Un equal Ratio!! Watu Laki Tisa Zanzibar, Na watu Milioni 41 Bara Halafu uwakilishi uwe kwenye ratio sawa!! Jamani? I smell something Fish!!
Uwezo Tunao, hii ni tume ya rais, hivyo hadidu za zajea zitatolewa na rais!.