PRISCUS JR
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 448
- 236
Heshima mbele wakuu, Wenye taarifa na kinachojiri bungeni watujuze tafadhali huku umeme wameuchukua. natanguliza shukrani wanajanvi
Ndo 09:03, bunge ndo linaanza.
sikiliza live hapa TuneIn Web Tuner
sikiliza live hapa TuneIn Web Tuner
hongera arusha mambo kwa kazi nzuri.sikiliza live kutoka bungeni:
leo ni siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, je itaweka historia katika utawala wa tanzania?
Karibu usikilize vipindi vya bunge live kutoka dodoma, kupitia www.arushamambo.com click "sikiliza arusha mambo fm..." radio ikifunguka kwenye page ya tunein please click... To like the radio.
source: arusha mambo.
sikiliza live hapa TuneIn Web Tuner
uko juu sana nilikuwa nahangaika kutafuta Link nisikilize maana sijaja na karedio kangu kazini
sikiliza live hapa TuneIn Web Tuner