Bungeni leo: Updates

PRISCUS JR

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
448
236
Heshima mbele wakuu, Wenye taarifa na kinachojiri bungeni watujuze tafadhali huku umeme wameuchukua. natanguliza shukrani wanajanvi
 
SIKILIZA LIVE KUTOKA BUNGENI:

Leo ni siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, je itaweka historia katika utawala wa Tanzania?

Karibu usikilize vipindi vya Bunge LIVE kutoka Dodoma, kupitia www.arushamambo.com click "Sikiliza Arusha Mambo FM..." Radio ikifunguka kwenye page ya tunein please click... to Like the radio.

Source: Arusha Mambo.
 
naomba niwambe kwamba hoja ya zitto itawasilishwa bungeni Mchana baada ya Hoja ya Kamati za Kilimo na Maliasili
 
Tupo pamoja wadau, serikali legelege na yakimtandao lazima iwajibishwe, ili tuweze kupata maendeleo ya kweli yumechoshwa na porojo za Abunuas:mad2:.
 
UPDATE

taarifa ya Maandishi ya kutaka kuleta hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu (ibara 53A ya Katiba) imewasilishwa rasmi kwa Spika.na Mchana Leo HOJA ya kutaka Azimio la kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu itakabidhiwa kwa Spika (kanuni 133(2)(3)). 'Taarifa vs Hoja'
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom