MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,393
- 10,591
Wakuu naomba msaada, wakati naangalia TV tanesco walikata/ umeme ulicheza kidogo yaani ndani sekunde mbili umeme ulikatika na kurudi.
Taa ya standby inawaka na nikiwasha TV Kwa remote au Kwa button yake Ile taa kama inazima kuonyesha TV imewaka halafu inawaka tena taa ya standby,
Wakuu tatizo ni nini?
Natanguliza shukrani zangu
Taa ya standby inawaka na nikiwasha TV Kwa remote au Kwa button yake Ile taa kama inazima kuonyesha TV imewaka halafu inawaka tena taa ya standby,
Wakuu tatizo ni nini?
Natanguliza shukrani zangu