Bungeni: Fungeni Milango Tupigane!

Sirlimu Ibwe said:
Kauli hiyo ni sahihi kutolewa na mhemiwa mbunge wa bunge tukufu. Nahisi Mheshimiwa alikosea anapaswa kuwaomba msamaha wawnwnchi waliomchagua, hawakumtuma ili akapigane bali akajenge hoja.

..kwa mtizamo wangu naona ni sahihi tu.

..mara nyingine kuna mambo ya kukera sana yanatokea bungeni.
 
Mimi ni mmojawapo wa waliomchagua Lema nataka aanzishe ngumi kabisa bungeni tena akija Arusha tutaandaa maandamano kumpongeza kwa hiyo kauli yake! Need I say more?

hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaahhahah Wala polisi hawatawapa kibali cha maandamano. tehetehetehe kwikwikwikwi
 
Hata kama Lema amesema lazima ujue amekulia mazingira yapi. Kwa Arusha kuna mambo ni kawaida sana. Mtu kupigwa bisibisi na kuambiwa 'we k*** to simu au nichekeche' ni jambo la kawaida. Usipotoa simu jamaa anachekecha bisibisi na hapo tayari ipo ndani!

Mbona polisi huwa wanampiga Lema sasa yeye kupigana ni nongwa?
 
Kauli hiyo ni sahihi kutolewa na mhemiwa mbunge wa bunge tukufu. Nahisi Mheshimiwa alikosea anapaswa kuwaomba msamaha wawnwnchi waliomchagua, hawakumtuma ili akapigane bali akajenge hoja.
Ni bora ungerekebisha na kusema wabunge wote waombe radhi maana kuna waliosema HAO NI CHADEMA wengine wakasema AKANYWE KIKOMBE CHA BABU, ATOKE NJE. wakati huo kumbuka spika anaongea tena akiwa amesimama> hizo kauli zote zimetolewa na Lema????????????? si nakuuliza wewe ibwe????? kwa nini yeye aombe msamaha au ndo kunya anye kuku akinya bata??? mbona na wewe haupo kwa timu mpya ya kina mukama???
 
Mimi mbavu zangu, ila humu ndani kungekuwa na kuonana tungeshatwangana mangumi. God bless our country. Thread ya babu loliondo lazima tungeshawekeana mkono.

Hata maofisini siku hizii wanazichapa ukitoa report yenye pumba au unaleta dharau kwa wenzio. TZ ya sasa sijui twaenda wapi
 
Hata kama Lema amesema lazima ujue amekulia mazingira yapi. Kwa Arusha kuna mambo ni kawaida sana. Mtu kupigwa bisibisi na kuambiwa 'we k*** to simu au nichekeche' ni jambo la kawaida. Usipotoa simu jamaa anachekecha bisibisi na hapo tayari ipo ndani!

Mbona polisi huwa wanampiga Lema sasa yeye kupigana ni nongwa?

kaka punguza kutetea uhuni. Tabia za Lema mission town hazina nafasi kwa Lema kiongozi.
 
Mimi ni mmojawapo wa waliomchagua Lema nataka aanzishe ngumi kabisa bungeni tena akija Arusha tutaandaa maandamano kumpongeza kwa hiyo kauli yake! Need I say more?

Halafu mnalalamika kwanini Dola walitumia mabavu kuvunja maandamano yale? Kama koongozi ndiyo huyu na wafuasi ndio ninyi ni wapi uhakika wa usalama wa wananchi ba mali zao mnapoongozwa kuelekea kituo kikuu cha polisi kilichosheheni silaha na majambazi sugu na hata mafaili ya ujambazi wa viongozi wenu hao?
 
Back
Top Bottom