Bungeni: Fungeni Milango Tupigane!

sasa wale akina mama waliogawa ngono mpaka wakachaguliwa kuwa wabunge mnategemea nini? hamjui ni kawaida ya malaya na mashangingi kuzomea na kupayuka? yuko wapi mbunge makini wa viti maalum wa ccm ambaye twaweza kusema huyu aliingia kihalali? rita mlaki? anna abdalah? mlata?

Usiniambie walionjwa kwanza! Ila ni kawaida yao ukiwa na mke mwenye cheo ccm jua wamesha-mchifupa, huna bahati anza kuchanga karata upya maana siku siyo zako, ona wanaume wenye wke viongozi anavyotaabishwa, namjua jamaa mmoja kapewa ukuu wa wilaya mbali na mke wake baada ya kugundua mke wake anatifuliwa na mkuu mmoja ambaye pia wana kaundugu na mheshimiwa! Ccm hao jamani! Hata udiwani ni noma haupatikani ukiwa na nguo zako zote!
 
Eee kweli Nchi hii imefikia pabaya sana...Watu mnaakili zenu wasomi na professions zao mnashabikia mambo ya kipumbavu! Lema kubweka kijinga bungeni mnaona kafanya la maana? CDM nawajua sana, Lema na Mbowe nawafahamu sana. Nimetoka jimbo la Hai...kampeni yake nilishiriki lakini wakati huo huo namfahamu Lema personaly. Lakini siungi mkono upupu huo wa Lema maana sio ya kiistaarabu. Tunahitaji mabadiliko ya kweli na hatukubaliani na upindishaji wa kanuni pindishi zinazofanywa na wana ccm lakini pia hatukubaliani na namna CDM inavyowasilisha mambo kwa nguvu badala ya nguvu ya hoja! Ninyi mnaoshabikia mambo haya ya kipuuzi ndio mtakaopelekea nchi yetu tukufu katika machafuko! Tupambane katika kutafuta haki na mabadiliko ya kweli lakini tuongozwe na ustaarabu, hekima na busara...Hakika tutafika na ushindi ni Hakika!

Nchi tukufu kwa maana gani? Unatetea ujinga wa ccm bungeni kwa kujifanya unaikosoa sawa na chadema! Huwez kutetea ushabiki wa kuvunga kanuni. Be objective
 
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!
Naamini hio njia anayotaka kuitumia si mpya-ishatumika na bado inatumika nchi za jirani
Hapo Kenya hawana hata muda wa kusema/kuomba mlango ufungwe-wao ni ngumi tu
Inabidi iwe hivyo maana kuna watu wapo bungeni ili kutetea maslah ya watu flani tu-sasa watu wa mtindo huu ndo wakupiga kabisa
 
Muda sio mefu Bune letu litakuwa kama la JAPAN,RUSIA na kwineko mtu ukitetea pumba unakula kichapo kwanza ndipo unapata adabu na akili ya kutetea Taifa.
CCM wako kama Punda bila kiboko haende wala habebi mzigo dawa ni moja viboko kwa kwenda mbele mwisho wa siku watanyooka tu...
CUF,NCCR,UDP nao wanahitaji viboko maana wako kama picha bungeni sijaona cha maana walichokifanya hadi sasa wao ni Magamba B hawawatendei haki wananchi waliowaingiza pale mjengoni!

Yaani inatia hasira hasa watu badala ya kujadili mambo ya umuhimu kwa manufaa ya taifa wao wanazomea na kuuza sura zao SHAME ON YOU MAFISADI MAGAMBA!

Haaa haaa haaaaaa umenichekesha halafu umenifurahisha, hakika wakati umewadia CHAMA CHA MAGAMBA KINAKUFA KABLA YA WALIVYOTARAJIA....KWA HERI MAFISADI MAGAMBA!
 
Kwa uongozi wa makinda ...kuminya haki za wachache ungeni..ipo siku kweli watapigana .....Wakati wa chama kimoja kuna mbunge mmoja anaitwa Mateo Quaresi alipigana na ndolanga kwenye ofisi ndogo za bunge......
SIO ajabu bungeni watu kupigana amabao wanashangaa waende INDIA,KENYA,BRAZIL,RUSSIA etc kule ukongeA upupu unapewa za uso TU..!..nashangaa watu wanashangaa wabunge ......sasa kama wabunge wa CCM wanazomea ovyo kama watoto ..what do u expect..?
 
Hakuwa na maana kwamba wapigane kweli, bali alikuwa anatumia usadifu wa kiswahili kuonyesha hisia zake, kwa kuwa hata milango ikifungwa na wakaanza kupigana bado cdm watashindwa kwa kupigwa kwa kuwa ni wachache
 
We unaomuona Lema anazungumza hivyo kwa uchungu wa nchi huwaona wale mashoga na "chakla ya wakubwa" waliojazwa mule kiushabiki tu hata kwa mambo yasiyo na faida kwa taifa?

Pole kama we umeogopa, nilipokuwepo mimi ni eneo lililokuwa na watu wengi na wengi wao walisema kama ningekuwa Lema nisingesema kufunga mlango, ningeenda na kufunga mwenyewe na kutwanga mtu

Visichana vyenu na ile mijinga ya kiume mliyoijaza kule ndani kushabikia badala ya kusimamia maslahi ya taifa ndiyo inayoleta adha zote na wewe umeamua kuangalia tokeo la tatizo na sio mzizi wa tatizo....na makonde mtayala sana mpaka mchange akili


Yalisemwa na mkabisha sasa mnapongeza! Anaeweza kufanya jambo haihitaji masifa bali hufanya kwa vitendo! Huuu ni uhuni tu hata mkiutetea namna gani. Nahisi ngoma itavunjika muda si mrefu, naona uvumi ni mkubwa!
 
Dah hii safi hakuna tena kulala bungeni na mavitambi yenu yanazidi kukua. CDM kama vipi mnataka buck-up ya makonde mtushtue maana wengine sisi n mabondia tuliostaafu. Itakuwa vyema tukitumia makonde yetu kutukomboa na uozo wa serikali na wawakilishi wasiojua wanachokifanya na pesa zetu wanakula kila siku....!
 
Hivi watachapana lini hawa jamaa??
Kwenye mjadala wa hotuba ya rais mbunge mmoja wa chama chenye gamba alisema wafunge mlango wapigane lakini hawakupigana lema kawakumbushia lakini wakakaa kimya si wazichape tu jamani??
 
Hii siasa ya Lema ndiyo nataka kusikia katika siku za sasa

sawa sawa ndugu, naamini umefika mda tunahitaji kuingia hatua nyingine, namna ya kuendesha siasa zetu (kama ya Lema) kama hiyo ndio itakuwa ghara ya kuuonyesha umma kuwa tupo zaidi ya makini kwenye masuala ya msingi.
 
Sometimes michango ya Wanazengo wa Jamii forum huwa inanifurahisha na kunipunguzia stress za Maisha.Yaani unaweza kucheka peke yako mbele ya PC na watu waliokaribu yako wakakushangaa.Mchangiaji anakwambia Chapa makonde hao mpaka washike adabu ,hizp ni chakula ya Wazee.Ila, Speaker wetu ni KILAZA mzuri wa sheria na taratibu za Bunge,nahisi kwa sheria za Nchi ndiyo bomu kabisa.wacha wamuendeshe wakina Zito,Mdee,Mnyika na Lissu ndiyo atashika adabu
 
Ukweli ni kuwa haki isipokuwepo na utaratibu kufuatwa kama sheria zinavyotaka linalofuata na vita ya kupigania uhuru au anarchy. Mtoa hoja usishangae labda jiulize kwa nini wanataka kupigana???
 
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!
Si bure lazima wewe bado una gamba
 
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!

LOL!, LOL!, hii kali, I can't believe this, "washindane kwa ngumi badala ya hoja" It's gonna take us a looong way to get there @ dunia ya kwanza
 
Katika CCM wako wabunge makini wachache mle Bungeni ambao nahisi wanajisikia aibu kutokana na tabia za kijinga zinazofanywa na wenzao kwa support ya Spika. Mtu makini hawezi kuunga mkono tabia za kishenzi za kuzomea hoja za msingi kiasi cha kukasirisha wengine mpaka watake kuchapana. Nadhani wakati umefika kuondoa wabunge wa viti maalum kwa vile wakubwa CCM wanaitumia nafasi hiyo kujaza vidosho vyao visivyo na sifa ya uwakilishi zaidi ya ushabiki.
 
Na bora waanze kushushiana mangumi, labda akili za hawa wabunge watetezi wa CCM(manake co watetezi wa wananchi) zitaanza kufanya kazi vizuri. Wanatia hasira hawa!

Katika kufanya hivyo ujue mbunge ananyimwa haki yake ya kuwakilisha mawazo mazuri mbele ya baraza kinachofanyika ni wingi wa hawa sisiemu kuzomea zomea kama mazezeta vile, spika naye kajaa ushabiki wa kitoto inaudhi we acha tu, kwa hali hiyo mbunge mwenye akili timamu hasira inapanda.
Bado makubwa tutasikia kama huu upuuzi hautaachwa na chama TWAWALA/TAWALA
 
hata mimi nataka siku moja wapigane kama taiwan kwani tumechoka na ****ing guys ambao wanapenda kunenepesha matumbo yao.. inabidi sasa tuangalie kama tutaweza kupata mabaunsa kumi waingie bungeni na wabunge wa CCM wakileta mchezo kichapo moja kwa moja kuanzia kwa spika., Yaani hawa CCM wanajifanya wamechaguliwa na mungu kutawala tanzania. Sasa huyo mkama unadhani atafanya nini kama sio kurudisha imani ya CCM kanda ya ziwa akisaidiwa na wassira. Najua watu wa kanda ya ziwa wameshackhoka bora wachaguliwe wakenya kuwa wabunge lakini sio CCM. Tutaona matokeo ya kuboronga kwa CCM mwakani wakati wa uchaguzi wao wa ndani. Nashangaa nayeye huyu bashe naye anajifanya mzalendo. Mzalendo hani wakati sio raia.

Jamani tukumbuke kwamba Bashe na basha wake Rostam wanatakiwa kufungwa au warudi kwao somalia wakapigane. nadhani hata RA anamtumia bashe kwa ajili ya kukusanya pesa za maharamia. kwa mujibu wa taarifa.... maharamia wa somalia wanaleta pesa zao na kuziwekeza Tanzania. Na unajua tena RA ndiye anajukumu la kuvutia wawekezaji.. ha ha ha tumeliwa
 
kaka ccm kila siku wanapindisha kanuni na kubebana, basi wachapwe makonde ili wabadilike, naunga mkono hoja
 
Nilishangaa Sambwe Shitambala anajichekesha kwa Kikwete eti amefurahi kurudi CCM........ muda si mrefu ataambiwa na yeye ni gamba hivyo anastahili kung'olewa
 
Back
Top Bottom