Bungeni: Fungeni Milango Tupigane!

Siasa za Lema ndio suluhu pekee
zingeenea fujo mpaka mtaani mimi personally ningezichapa na Sofia Simba live
 
Kauli hiyo ni sahihi kutolewa na mhemiwa mbunge wa bunge tukufu. Nahisi Mheshimiwa alikosea anapaswa kuwaomba msamaha wawnwnchi waliomchagua, hawakumtuma ili akapigane bali akajenge hoja.
 
we umajiunga feb 10 hadi leo una post 10, huwa unaingia humu kweli? search post zilizopita hiyo issue imeongelewa sana!
 
Kauli hiyo ni sahihi kutolewa na mhemiwa mbunge wa bunge tukufu. Nahisi Mheshimiwa alikosea anapaswa kuwaomba msamaha wawnwnchi waliomchagua, hawakumtuma ili akapigane bali akajenge hoja.

ndo yale mapambano yaliyoanzishwa na msekwa haya hapa JF.
 
Kauli hiyo ni sahihi kutolewa na mhemiwa mbunge wa bunge tukufu. Nahisi Mheshimiwa alikosea anapaswa kuwaomba msamaha wawnwnchi waliomchagua, hawakumtuma ili akapigane bali akajenge hoja.
Ulivyokuwa unaandika hapa ulikuwa unafukuzwa? nenda kajianze upya!
so many contradictions.
 
Kauli hiyo ni sahihi kutolewa na mhemiwa mbunge wa bunge tukufu. Nahisi Mheshimiwa alikosea anapaswa kuwaomba msamaha wawnwnchi waliomchagua, hawakumtuma ili akapigane bali akajenge hoja.

Umeyajuaje wewe ya wananchi wake labda walimtuma kuwapiga ngumi mafisadi
 
Kauli hiyo ni sahihi kutolewa na mhemiwa mbunge wa bunge tukufu. Nahisi Mheshimiwa alikosea anapaswa kuwaomba msamaha wawnwnchi waliomchagua, hawakumtuma ili akapigane bali akajenge hoja.

Mimi ni mmojawapo wa waliomchagua Lema nataka aanzishe ngumi kabisa bungeni tena akija Arusha tutaandaa maandamano kumpongeza kwa hiyo kauli yake! Need I say more?
 
hakuna msamaha...wafungemilango watwangane maana spika analeta mambo ya kuuza mbege....wacha wachapane makonde tu kama kenya na uganda walivokuwa wanafanya zamani
 
Bora wapigane ili adabu ipatikane siyo kukalia upuuzi wa kuunga mkono hoja za ajabu na spika kuongoza kuwabana wapinzani kwa matakwa ya mafisadi waliompachika kwenye hicho kiti na ngumi zikianza bora ngumi ya kwanza itue kwenye shavu la spika
 
Mimi ni mmojawapo wa waliomchagua Lema nataka aanzishe ngumi kabisa bungeni tena akija Arusha tutaandaa maandamano kumpongeza kwa hiyo kauli yake! Need I say more?

hata mm nakuunga mkono siku ya maandamano tushutuane.sababu na mm ni mbunge wangu ninayempenda
 
wa kwanza wa kuomba msamaha wawe waliokuwa wakipiga zogo Kelele za atokee atokeee kama washabiki wa timu za mpira za Faru dume na Bombom Ilala!
 
Now days tunatumia zaidi akili na si nguvu. Kama ni mbunge mnayempenda mwambieni ajenge hoja na si ngumi, kwa ma great thnkers anajishushia heshma
 
CCM wameshalost so sishangai wakizomea hawana wanachoweza kufanya mjengoni. Ndo maana kwangu ni mshangao kuona fighter kama Lema kushndwa kutumia akili, najua may be ni hasra, ajfunze kujzua,ili aweze kushrksha ubongo
 
Back
Top Bottom