Bungeni: Fungeni Milango Tupigane!

Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!

Wewe unadhani Bungeni ni sehemu ya kupiga vigelegele!
Hiyo ni CDM haikuingiza washangiliaji au comfort girls kama CCM.
 
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!

Mkuu wewe ulitaka acheke cheke kama JK? Hapa CCM walipotufikisha siyo pa kuchekeana tena wakileta mzaha ni haki yao wadundwe.Si unaona hasara aliyopata JK na CCM yake kwa kucheka cheka? Waswahili tunasema UKICHEKA NA NYANI UTAVUNA MABUA. Na kama wewe ni mfuatiliaji wa vipindi vya bunge basi utagundua kuwa Wabunge wa CCM ndiyo hamnazo kwani wanaendekeza ushabiki navijembe, kazi wanayojua ni kuzomea wapinzani na kupigia makofi hoja za serikali hata kama hazina faida kwa wapiga kura wao.
 
Muanzisha mada kaingia mitini, mashambulizi kila kona, mmmh, watu tumechoka haya magamba kweli kweli!
 
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!
Mkuu uko shallow sana

there were shouts from over 10 MPs na nakunmbuka vizuri sana wabunge wa chama cha magamba walikua na makelele kabisa.. and in such environment where upuuzi umezidi ulitaka asali salam Maria??

Afterall amepigwa sana na polisi wa chama cha magamba kiasi kwamba hategemei chochote zaidi ya virungu any time watu wanaposhindwa kukubaliana
 
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!

Basi lisipokwenda vizuri tatizo nani? Dereva au abiria?
 
safi sana! bunge linatakiwa liwe km JF, ukiandika pumba unashambuliwa mpaka ukome, kesho ukija kabla hujaandika chochote lazima ufikirie kwa kina chakuandika, hivyo ndivyo inavyotakiwa, sio ndio mzee.....!!!
 
Wana JF, binafsi yangu ningependa kujiridhisha na jinsi nilivyosoma leo na kusikia iwe Radioni, Television au magazeti au network jamii zote,

Mosi, ni nani aliyeshuhudia kuwa Mh Lema alisema maneno hayo ya milango ifungwe ili wapigane?

Pili, na je yale maneno mengine yaliyosikika kuna mtu anayeweza kututhibitishia yalikuwa ya akina nani?

Aluta continua Viva!
 
Lema kusema hivyo isiwe sababu ya kuikosoa CHADEMA
Mbona Masinde wa CCM alitoa manenomakali zaid ya hayo wakati akichangia hotuba ya Rais....?
 
jana mh. Godbless lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli chadema ni hamnazo!

acha propaganda kila mtu alikuwa akichangia la kwake kama zogo la buriania, wewe ulijuaje kuwa aliyesema hivyo ni lema na sio january makamba?
 
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!

Nilisikiliza kwa makini wakati wa live na kwenye taarifa ya habari ya Channel ten na ITV. Aliyesema hayo maneno siyo Godbless Lema na wala hayakusemwa na mbunge wa upinzani. Hata kama alisema hivyo, kilichokuwa kinashindaniwa siyo hoja tena bali ushabiki na ukikumbuka ushabiki wa shule za msingi huishia kupigana. Ndiyo maana Spika aliwaambia wabunge wote wanakuwa kama watoto wadogo.
 
Kwani hoja ni hiyo pekee? Mbona ya wabunge wa sisiem kuogopa kiingereza hamuisemi, yaone ndio maana yalishindwa kwa hoja za Halima. Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Halima, wachape kwa hoja watakaoenda kwa babu ni akina januari na kaka yao alijifanya anaenda kufukua nyao kumbe alikata kona kapiga kikombe kisha katokomea olduvai

Tunawasubiri mrudi tuwape zenu, kumbe mlikuwa mnapiga magoti mkafanye utoto eh! jiandaeni, hapa mtaani hamtakaa sh****zi type
 
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!

Sikusikia ila Kama Mh Lema alisema hivyo ninampongeza sana, maana ndiyo dawa kama watu wanaleta mambo ya kijinga Bungeni dawa ni kuwatwanga makonde, wewe watu wamekaa kupinga tuu kila kitu cha maana Chadema wanachojalibu kufanya tena wanapinga bila kufikiri, jamani Bungeni sio sehemu ya kwenda kupoteza muda! ni sehemu ambapo watu wanatakiwa kufikiri kwa Ubongo ili kuleta maendeleo ya Taifa hili, ni sehemu amabapo maamuzi mengi yanamhusu mwananchi yanafanyika! sasa kwa bahati mbaya watu wengi waliopo hapo bungeni hawajui hilo na wanafanya mambo ya kuudhi, nafikiri huko tuendako wengi wataenguliwa tu, na ndipo tutakuwa na Bunge Bora, jamani tuhamasishe kwenye wilaya zetu next election wabunge wengi wapuuzi wa CCM waangukie Pua, tukiweza kuwa na 51% ya wabunge wote basi Speaker anaweza kutoka Chadema!, hili nalo ni jambo la kuangalia wakati tukiangalia suala la Rais.
 
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!

Jaribu kuelewa mwenendo wa majadiliano ulivyo sasa bungeni, wale wa ccm wapo kupinga kila jambo lolote linalosemwa na wabunge wa CHADEMA hata kama ni la kweli na la msingi.
Angalia spika makinda anavyowabeba wale wa ccm na kuwazima wale wa CHADEMA. Wabunge wa ccm wanaonyesha kukosa subira hata kutosubiri spika atoe maamuzi, kiasi kwamba, wao wabunge 'chorus ccm' ndio wanamueleza spika makinda cha kufanya.
Suala la msingi lililopelekea Lema atoe maneno hayo ni kwa sababu sasa katika bunge letu watoa hoja wanapingwa sio kwa hoja bali kwa wingi wa fujo na kelele.
 
Eee kweli Nchi hii imefikia pabaya sana...Watu mnaakili zenu wasomi na professions zao mnashabikia mambo ya kipumbavu! Lema kubweka kijinga bungeni mnaona kafanya la maana? CDM nawajua sana, Lema na Mbowe nawafahamu sana. Nimetoka jimbo la Hai...kampeni yake nilishiriki lakini wakati huo huo namfahamu Lema personaly.

Lakini siungi mkono upupu huo wa Lema maana sio ya kiistaarabu. Tunahitaji mabadiliko ya kweli na hatukubaliani na upindishaji wa kanuni pindishi zinazofanywa na wana ccm lakini pia hatukubaliani na namna CDM inavyowasilisha mambo kwa nguvu badala ya nguvu ya hoja! Ninyi mnaoshabikia mambo haya ya kipuuzi ndio mtakaopelekea nchi yetu tukufu katika machafuko!

Tupambane katika kutafuta haki na mabadiliko ya kweli lakini tuongozwe na ustaarabu, hekima na busara...Hakika tutafika na ushindi ni Hakika!
 
Nilisikiliza kwa makini wakati wa live na kwenye taarifa ya habari ya Channel ten na ITV. Aliyesema hayo maneno siyo Godbless Lema na wala hayakusemwa na mbunge wa upinzani. Hata kama alisema hivyo, kilichokuwa kinashindaniwa siyo hoja tena bali ushabiki na ukikumbuka ushabiki wa shule za msingi huishia kupigana. Ndiyo maana Spika aliwaambia wabunge wote wanakuwa kama watoto wadogo.

Tena akaongeza na kusema "tunafanya mambo ya kipumbavu" na kwa ujumla ndio kilichokua kinafanyika, maana watu walikua wanabishana hovyo hovyo tu
 
Back
Top Bottom