Bungeni: Fungeni Milango Tupigane!

Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!
Hapana mkuu ambao ni hamnazo ni wale wanaokiuka utaratibu mzuri uliowekwa na bunge wa kufuata kanuni. Godbless anathibitisha kuwa vijana wako bold na hawaogopi kusema ukweli. Mtu unapindisha kanuni halafu ikubalike!!! Hakuna NGUMI tu ndipo watafuata utaratibu!!!!!!!!!!!!! Mtu akipewa mamlaka sio kwamba afanye anachotaka aongoze kwa kufuata kanuni zilizowekwa na bunge sio zake. Kwani bunge lake hilo?
 
hivi wakitwangana ndani ya mjengo si hakuna kesi pale, mimi naona sasa wakati kweli umefika mtu kupigwa makofi mjengoni
 
Hapana mkuu ambao ni hamnazo ni wale wanaokiuka utaratibu mzuri uliowekwa na bunge wa kufuata kanuni. Godbless anathibitisha kuwa vijana wako bold na hawaogopi kusema ukweli. Mtu unapindisha kanuni halafu ikubalike!!! Hakuna NGUMI tu ndipo watafuata utaratibu!!!!!!!!!!!!! Mtu akipewa mamlaka sio kwamba afanye anachotaka aongoze kwa kufuata kanuni zilizowekwa na bunge sio zake. Kwani bunge lake hilo?
 
Ngumi tu ndio watafuata sheria. Bunge sio personal property ya mtu mmoja kufanya anavyotaka na kuburuza watu. Ni mahala pa demokrasi unaofuata utaratibu uliowekwa na bunge lenyewe. Long Live Godbless!!!!!!!! Hurayyyyyyy!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Eee kweli Nchi hii imefikia pabaya sana...Watu mnaakili zenu wasomi na professions zao mnashabikia mambo ya kipumbavu! Lema kubweka kijinga bungeni mnaona kafanya la maana? CDM nawajua sana, Lema na Mbowe nawafahamu sana. Nimetoka jimbo la Hai...kampeni yake nilishiriki lakini wakati huo huo namfahamu Lema personaly. Lakini siungi mkono upupu huo wa Lema maana sio ya kiistaarabu. Tunahitaji mabadiliko ya kweli na hatukubaliani na upindishaji wa kanuni pindishi zinazofanywa na wana ccm lakini pia hatukubaliani na namna CDM inavyowasilisha mambo kwa nguvu badala ya nguvu ya hoja! Ninyi mnaoshabikia mambo haya ya kipuuzi ndio mtakaopelekea nchi yetu tukufu katika machafuko! Tupambane katika kutafuta haki na mabadiliko ya kweli lakini tuongozwe na ustaarabu, hekima na busara...Hakika tutafika na ushindi ni Hakika!
 
kwa style kidoogo labda tutasonga kwani kuwa ccm ni upuuuzi mtupu............mibunge na visichana vya ccm vinahalibu tu bunge havina uwezo wa kutetea watz...........wanatete ccm iliyoooza na kwa maslahi ya kuendelea kulea mafisadi............
LEMA TUPO PAMOJA NCHI HII BILA HAYA HATUTASONGA HATA HATUA MOJA
 
Gazeti la Mwananchi la leo April 14. 2011 na waandishi wake wawili, Habel Chidawali na Midraj Ibrahim, kutoka Dodoma wameandika nanukuu: "CCM hawana adabu...CCM mnafanya fujo huku Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbles Lema, akizigumza kwa sauti ya juu na kusema Fungeni milango tupigane." mwisho wa kunukuu.
 
Eee kweli Nchi hii imefikia pabaya sana...Watu mnaakili zenu wasomi na professions zao mnashabikia mambo ya kipumbavu! Lema kubweka kijinga bungeni mnaona kafanya la maana? CDM nawajua sana, Lema na Mbowe nawafahamu sana. Nimetoka jimbo la Hai...kampeni yake nilishiriki lakini wakati huo huo namfahamu Lema personaly. Lakini siungi mkono upupu huo wa Lema maana sio ya kiistaarabu. Tunahitaji mabadiliko ya kweli na hatukubaliani na upindishaji wa kanuni pindishi zinazofanywa na wana ccm lakini pia hatukubaliani na namna CDM inavyowasilisha mambo kwa nguvu badala ya nguvu ya hoja! Ninyi mnaoshabikia mambo haya ya kipuuzi ndio mtakaopelekea nchi yetu tukufu katika machafuko! Tupambane katika kutafuta haki na mabadiliko ya kweli lakini tuongozwe na ustaarabu, hekima na busara...Hakika tutafika na ushindi ni Hakika!
Bila ngumi CCM hawawezi kuelewa.
 
Sikutazama Video ya Bunge lakini nilisikiliza redioni. I le sauti sidhani kama ni ya Godbless Lema. Nadhani ni ya mtu mwingine. I think wanamuonea Lema.
 
Lema kafanya kitu safi sana, Kaamsha fikra zilizokuwa zimelala, kumbe kufunga milango na kushikishana adabu inawezekana? Endelea mpiganaji!!!
 
NADHANI tutafika tunapotarajia ikiwa hata wasomi wetu na Maprofessor wamekua mabubu na ni very BIAS when it comes to sensitive issues that needs special clarifications from various stake holders especialy those Profs...which to my opinions they dont provide constructive ideas and views even for the SIMPLE and academical matters....its embarassing that WE ALL STUPID EXCEPT CHADEMA na DR SLAA ..A CARRIER CRITICS this is very bad.....whatever its been said By those wavuta tumbaku the fact ni chadema hatujipi muda kutafakari, ni hatari tusiwe hivi nadhani tunaheshimika sana Tanzania na wasomi mliosoma sisi wengine ni wababaishaji tu...kwahiyo tusiwaache Mr 2 na WENJE tumbaku na LEMA nchi hii...

SIO lazima ukubaliene na mimi

Kingine ni kwamba tulitegemea ROSTAM na LOWASSA kuanzisha mashambulizi zidi ya Kikwete ila hofu yangu yangu kwanini baada ya hatma yao kua ktk kuti kaavu ndio waanze kumjumuisha kikkwete mbona siku zote hawakuandika.....

sisi kama wananchi ROHO ZETU nyeupe FANYENI biashara zenu siasa wawachieni wengine............tumewachoka.....YOU CAN NOT HAVE US ALL
 
Kuna mwanafalsafa mmoja alisema, "Unjust law, is not law at all"

Sheria na kanuni kama za bunge letu zinazotaka kuwakandamiza wapinzani tuu, sio sheria wala kanuni, hata kidogo!

Watu wanafungwa na mambo ambayo hayawasaidii wananchi!
Kanuni zinawekwa kuwabana wawakilishi wa wananchi!

Wabunge wanafuata mkumbo bila kuangalia maslahi ya wananchi!

Spika asiyejali maslahi ya wananchi, sio mwakilishi wa wananchi hata kidogo!
 
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!

ulijuaje kama ni lema.? mm ni mbunge. aliyetamka hayo ni lukuvi na aliyesema anywe kikombe ni january. unabisha.

Asante mkuu..maana mie nilikuwa najiuliza huyu Jesuit kajuaje aliyetamka yale maneno alikuwa ni Lema..
Hao waheshimiwa wa CCM ni balaa...
 
Hili bunge linalokaa kila mwaka na watoto wanaendelea kukaa nchini bila madawati, wagonjwa wanakufa bila msaada, wazee wanadai haki zao miaka nenda rudi, misitu inaendelea kwisha, wananchi wanaendelea kuwa maskini, wao wanaendelea na mizaha bungeni inakubalika?
 
NADHANI tutafika tunapotarajia ikiwa hata wasomi wetu na Maprofessor wamekua mabubu na ni very BIAS when it comes to sensitive issues that needs special clarifications from various stake holders especialy those Profs...which to my opinions they dont provide constructive ideas and views even for the SIMPLE and academical matters....its embarassing that WE ALL STUPID EXCEPT CHADEMA na DR SLAA ..A CARRIER CRITICS this is very bad.....whatever its been said By those wavuta tumbaku the fact ni chadema hatujipi muda kutafakari, ni hatari tusiwe hivi nadhani tunaheshimika sana Tanzania na wasomi mliosoma sisi wengine ni wababaishaji tu...kwahiyo tusiwaache Mr 2 na WENJE tumbaku na LEMA nchi hii...

SIO lazima ukubaliene na mimi

Kingine ni kwamba tulitegemea ROSTAM na LOWASSA kuanzisha mashambulizi zidi ya Kikwete ila hofu yangu yangu kwanini baada ya hatma yao kua ktk kuti kaavu ndio waanze kumjumuisha kikkwete mbona siku zote hawakuandika.....

sisi kama wananchi ROHO ZETU nyeupe FANYENI biashara zenu siasa wawachieni wengine............tumewachoka.....YOU CAN NOT HAVE US ALL

Join Date : 14th April 2011
Posts : 1
Thanks:0
Thanked 0 Times in 0 PostsRep Power : 0

Pole sana MFYATUO, wewe umekuja leo tu umeshachoka. Hili si jukwaa la biashara, ni jukwaa la siasa. Pia usiwe na wasiwasi wa siku zijazo, wenye nchi washajivua magamba, so kina Wenje na Mr 2 wasikukere saanaaa. Hiyo Rostam na Lowasa ulikuwa unapotezea ama?
 
ulijuaje kama ni lema.? mm ni mbunge. aliyetamka hayo ni lukuvi na aliyesema anywe kikombe ni january. unabisha.

Tatizo lake 'amekeremua' tu. Mimi ningemshauri huyu bwana awe anafuatilia Bunge sio kusikiliza redio za mafisadi tu
 
NADHANI tutafika tunapotarajia ikiwa hata wasomi wetu na Maprofessor wamekua mabubu na ni very BIAS when it comes to sensitive issues that needs special clarifications from various stake holders especialy those Profs...which to my opinions they dont provide constructive ideas and views even for the SIMPLE and academical matters....its embarassing that WE ALL STUPID EXCEPT CHADEMA na DR SLAA ..A CARRIER CRITICS this is very bad.....whatever its been said By those wavuta tumbaku the fact ni chadema hatujipi muda kutafakari, ni hatari tusiwe hivi nadhani tunaheshimika sana Tanzania na wasomi mliosoma sisi wengine ni wababaishaji tu...kwahiyo tusiwaache Mr 2 na WENJE tumbaku na LEMA nchi hii...

SIO lazima ukubaliene na mimi

Kingine ni kwamba tulitegemea ROSTAM na LOWASSA kuanzisha mashambulizi zidi ya Kikwete ila hofu yangu yangu kwanini baada ya hatma yao kua ktk kuti kaavu ndio waanze kumjumuisha kikkwete mbona siku zote hawakuandika.....

sisi kama wananchi ROHO ZETU nyeupe FANYENI biashara zenu siasa wawachieni wengine............tumewachoka.....YOU CAN NOT HAVE US ALL

Sijakuelewa! Kama una umauma maneno, talk openly !
 
Back
Top Bottom