kipindupindu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 1,053
- 170
Kwa kweli nimeangalia bunge na kugundua halina maana yoyote na haliisaidii au kuisimamia serikali.wabunge wako kishabiki zaidi wanaboa sana!
Halina maana hivyo livunjwe rasmi na tuitishe uchaguzi upya.
Kuanzia sasa upigaji wa kura bungeni uwe wazi na ijulikane nani alipiga kura ipi katika hoja iliyojadiliwa ili makosa yanapotokea mbeleni tuwahukumu waliohusika.
Update:

Mwananchi | July 13, 2011Katika hatua nyingine Mbunge wa Simanjiro, Chrispher Ole- Sendeka (CCM), amemtaka Rais wa Jakaya Kikwete kutumia nafasi yake na kulivunja Bunge mara moja ili warudi katika uchaguzi kwa kile alichokieleza kuwa Bunge limejaa wahuni wengi.
Ole Sendeka alitoa kauli hiyo jana nje ya viwanja vya Bunge wakati akizungumza na Mwananchi kufuatia mjadala mkali uliozua mabishano wakati wa kujadili hotuba ya bajeti ya Wizara ya afya na Ustawi wa Jamii.
Sendeka alisema Bunge limekosa mvuto na hata jamii inayowasikiliza wanaona kuwa hakuna maana yoyote ya kuwa na Bunge ambalo limekosa mwelekeo kama ilivyo sasa kwa bunge la kumi.