Ole Sendeka: Bunge lijalo nitawataja Viongozi walio nyuma ya Ufisadi wa IPTL hadi SGR

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,018
142,058
Mh Ole Sendeka amesema Wizi na Ufisadi umetamalaki katika nchi hii na katika Bunge lijalo atawataja Viongozi wote walio nyuma ya Ufisadi wa IPTL hadi SGR

TBC

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Uchaguzi umekaribia!
 
Hana lolote kwanini asiwataje sshv?
Yaani Hawa wanafikiri watz wajinga sn
 
Mh Ole Sendeka amesema Wizi na Ufisadi umetamalaki katika nchi hii na katika Bunge lijalo atawataja Viongozi wote walio nyuma ya Ufisadi wa IPTL hadi SGR

TBC

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Uchaguzi umekaribia!
basi atapewa fungu lake anyamaze
 
Mh Ole Sendeka amesema Wizi na Ufisadi umetamalaki katika nchi hii na katika Bunge lijalo atawataja Viongozi wote walio nyuma ya Ufisadi wa IPTL hadi SGR

TBC

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Uchaguzi umekaribia!
Pumbavu, anajuaje kama atarudi au kwa vile amesema bunge lijalo atatenda hilo, basi wamrudishe...
 
Mh Ole Sendeka amesema Wizi na Ufisadi umetamalaki katika nchi hii na katika Bunge lijalo atawataja Viongozi wote walio nyuma ya Ufisadi wa IPTL hadi SGR

TBC

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Uchaguzi umekaribia!
Alijisemea aliyekuwa mbunge wa Kilwa enzi hizo, bwana BWEGE...... WATAPARURANA WENYEWE KWA WENYEWE..!! Yanatimia sasa..!!
 
Ashitakiwe kwa kukaa na ushahidi bila kuupeleka panapostahili
 
Jipya litakuwa SGR....mengine yaliyopita hakuna jipya.....awataje wenye malori wanaohujumu SGR.....asisahau wanasiasa wakiomo....
 
Mh Ole Sendeka amesema Wizi na Ufisadi umetamalaki katika nchi hii na katika Bunge lijalo atawataja Viongozi wote walio nyuma ya Ufisadi wa IPTL hadi SGR

TBC

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Uchaguzi umekaribia!
kama yeye ni mwaminifu si awataje tu sasaivi? au anataka kuwapa mwanya waende wakamuone na burungutu la fedha ili asiwataje? hivi mnamuelewa?
 
Mh Ole Sendeka amesema Wizi na Ufisadi umetamalaki katika nchi hii na katika Bunge lijalo atawataja Viongozi wote walio nyuma ya Ufisadi wa IPTL hadi SGR

TBC

Uchaguzi umekaribia!
Awataje sasa sio mpaka aingie bungeni, awataje mapema na wala sio mpaka kampein zianze
Awataje sasa
 
Mnafiki tu, kwanini asiwataje Sasa?
Anasubiri waibe kila kitu halafu wahame nchi ndio awataje?
Jamaa Ni mzee Sana amechoka nyama Hadi ubongo anategemea Nani atamrudisha bungeni? Anajua siku atakayotwaliwa? Je sisiemu wakimkolimba au hata wakimwakyembe?
 
Yeye mwenyewe tuna mafaili yke kule jimboni kwake kwasababu anaongoza wamasai anawafanya anavyotaka.
 
Mh Ole Sendeka amesema Wizi na Ufisadi umetamalaki katika nchi hii na katika Bunge lijalo atawataja Viongozi wote walio nyuma ya Ufisadi wa IPTL hadi SGR

TBC

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Uchaguzi umekaribia!
Hana Uwezo Huo
Tuliposema Bunge Hili Aliloacha Mzilankende La Ccm Ambao Polepole, Bashiru Ndiyo Waliweka Majina Yao WakiwaAcha Wapinzani Walioshinda Kwa Nguvu Ya Umma. Eti Leo Huyo Yero Subai Awataje Haa
 
Haya wapiga kura wa Ole Sendeka mpigieni kura mtu wenu arudi bungeni kutaja wezi
 
Back
Top Bottom