Sipendi kuwa pessimistic lakini siasa za nchi hii
unajikuta mtu unakuwa pessimistic hata kama ulizaliwa
by nature optimistic kind of person.........
Nimetazama hao wabunge watarajiwa nikakosa cha kusema....
Ni kama miss tanzania imehamia kwenye bunge.......
I mean hilo kundi la vijana,na kundi la kapu sijui na kundi la
vyuo ........ukichanganya na viti maalum........
Mmoja wa hao wabunge watarajiwa anaitwa catherine magige
tayari leo hii ameshaanza andikwa na magazeti ya udaku........
Nilisema na narudia kusema hivi viti maalum tuvipige vita mpaka vifutwe.......
Kwa kweli magazeti ya udaku yatahamia dodoma.....
Na hilo bunge skendo za ngono zitakuwa ni kila siku........
Hivi kuna haja kweli ya kuwa na wasichana umri wa miaka 21-25
wawe wabunge wa viti maalum?????
Wengine bado wa anaishi na wazazi wao halafu waende bungeni
wawe waheshimiwa....wanamwakilisha nani??????????
I am more than dissapointed na hii nchi..........
Hivi wenye kufikiri straight hakuna kabisa?????????????
yaani aliyeanzisha topic hii kama alikuwepo kwenye mawazo yangu. viti maalum lukuki bungeni vya nini? mbona bunge hili limejaa sana vitoto vidogo? take it from me, percentage kubwa kule wanafuata mambo tofauti na ya ubunge, kule wanaona ndio mahali pekee pa kujulikana na kujipitisha pitisha kwa watu. mengi tutayasikia katika wakati huu wa utandawazi. siri hakuna siku hizi jamani, msijidanganye.
Sipendi kuwa pessimistic lakini siasa za nchi hii
unajikuta mtu unakuwa pessimistic hata kama ulizaliwa
by nature optimistic kind of person.........
Nimetazama hao wabunge watarajiwa nikakosa cha kusema....
Ni kama miss tanzania imehamia kwenye bunge.......
I mean hilo kundi la vijana,na kundi la kapu sijui na kundi la
vyuo ........ukichanganya na viti maalum........
Mmoja wa hao wabunge watarajiwa anaitwa catherine magige
tayari leo hii ameshaanza andikwa na magazeti ya udaku........
Nilisema na narudia kusema hivi viti maalum tuvipige vita mpaka vifutwe.......
Kwa kweli magazeti ya udaku yatahamia dodoma.....
Na hilo bunge skendo za ngono zitakuwa ni kila siku........
Hivi kuna haja kweli ya kuwa na wasichana umri wa miaka 21-25
wawe wabunge wa viti maalum?????
Wengine bado wa anaishi na wazazi wao halafu waende bungeni
wawe waheshimiwa....wanamwakilisha nani??????????
I am more than dissapointed na hii nchi..........
Hivi wenye kufikiri straight hakuna kabisa?????????????
Sasa wazee wakilala bungeni nani atakaye waamsha?:A S 8:Hivi kuna haja kweli ya kuwa na wasichana umri wa miaka 21-25
wawe wabunge wa viti maalum?????
Wengine bado wa anaishi na wazazi wao halafu waende bungeni
wawe waheshimiwa....wanamwakilisha nani??????????
Sitaweza kuongozwa na mtu ambaye bado ananuka mkojo tena bado ni Friji open yaani anaishi na wazazi.Naomba mkuu ufafanue hiyo niliyo highlight na red. Kwanini wasichana umri huo hawawezi kuwa bungeni? na je wavulana wa umri huo wanaweza? Asante
Sitaweza kuongozwa na mtu ambaye bado ananuka mkojo tena bado ni Friji open yaani anaishi na wazazi.
Huyu kabisa hatajua matatizo niliyonayo nikiwa kama mzazi au mkulima. Mifumuko ya bei ataijuaje wakati yeye kilo ya nyama inaletwa nyumbani na house girl?
Ni yale ya kuongoza kihisia; mtu anahisi tuu basi anaamua.
Mkuu kwa upande mwingine ni lazima tukubali kuwa hali hii inaweza kuwa na positve effect. Baadhi ya wabunge ambao walikuwa na mahudhurio hafifu wataongeza mahudhirio bungeni. Kukiwa na ma-miss wengi bungeni, no doubt bunge litakuwa la kitoto na serikali itakuwa na easy ride, on the other hand wabunge wapenda vimwana watakuwa na mahudhurio mazuri bungeni.
lakini AC alikuwa na umri mdogo lakini niliupenda ubaya wake....hakuwa mwoga katika kusimamia anachoamini...alikuwa mwanasiasa mahiri jamani nikimlinganisha na mimama mizee iliyopo....ina kazi ya kuzuia vijaana wadogo wasijenge hoja za msingi! sijui zaidi maisha ya AC ya bungeni yalikuwaje anyway...cha msingi kama yalileta impact katika majukumu yake kama mbunge
binafsi sioni uhusiano kati ya wabunge vijana na ngono bahati nzuri mwandishi wa thread hii ameiona...mie sielewi jamani tulipo kuwa na wabunge wazee wanasinzia na tukaambiwa vijana taifa la kesho tulikataa kwa nguvu zoote..sasa vijana wanaingia bungeni tena tunakataaa tunawahusisha nia ngono
I gesi wangekuwa wanaingia wabunge wanaume vijana hili lisingesemwa hata kama wangeenda kufanya ufuska...
baadhi ya ya wanaJF tubadilike tunawachora na kuwa generolaizi wanawake wote kwa haiba mbaya sana ..umalaya..its not fair at all..ni kukoseana heshima
mix with yours
Wewe Kapwani! With due respect to the deceased(AC), tofautisha kati ya kupiga kelele na kuchangia hoja with evidence, Mimi Marehemu AC simtofautishi sana na Mama Kilango, anayepiga kelele lakini bila ya kuwa pragmatic